Rais Magufuli tusaidie, Luhemeja ameigeuza DAWASCO shamba la bibi

Mh Rais Magufuli, watanzania tumeona dhamira yako safi iliyoambatana na hatua thabiti kwa vitendo kupambana na mchwa wanaoitafuna Nchi hii bila huruma.

Cha kusikitisha hadi sasa kuna mijitu bado haijasikia wala kuelewa kile unachokisimamia cha kuitafuta Tanzania yenye Neema.

Leo nakutajia mchwa mbaya kabisa ndani ya serikali yako ambaye ni Mhandisi, mwizi anayevaa suti na tai bwana Sprian Luhemeja Afisa mtendaji mkuu wa DAWASCO.

Hili jipu lina kiburi, dharau na utendaji mbovu lakini linajilinda kwa kutoa rushwa ili liendelee kubaki madarakani pamoja na kuutaka ukatibu mkuu ama uwaziri kwa kijipendekeza kwa wakubwa au hata kuununua. Kuhani wake ni Prof. Maghembe.

Turudi kwenye ufisadi wake:

Kuna kazi pale Serengeti ameipa kampuni ya mtindasi ambaye ni mtu wake wa karibu kwa gharama ya Tshs milioni 420 ambazo hizi fedha walizigawana yeye Luhemeja na Mtindasi. Ikumbukwe mtindasi pia ni mfanyakazi wa DAWASCO hivyo mchakato wa zabuni umekiukwa.

Katapila za Dawasco ni nzima lakini Shirika linakodisha mengine kutoka nje kwa laki Nane (8) na linafanya kazi kwa masaa mawili au matatu ili hela iendelee kuingia kw Luhemeja.

Amekomba mamilioni ya fedha za SACCOSS ya wafanyakazi ambayo kila mfanyakazi anachangia 60 000/- kila mwezi.

Pesa za OPEX zikitumwa vituoni kuna kijana anaitwa Costa anaenda kukusanya 3ml/- na mkurugenzi anapelekewa Milioni moja.

Kuna mtu anaitwa konyaki ambaye ni mkurugenzi wa rasilimali watu (CHRO) amefanya ufisadi wa shilingi milioni 20 akiwa mamlaka ya maji moshi na amekuwa hafiki kazini muda mwingi anafanya mambo yake nje ya dar lakini mkurugenzi Luhemeja amelifumbia macho. Huyu Konyaki baada ya kushirikiana na Luhemeja kupiga sana hela wakiwa wote moshi na ishu kubumburuka luhemeja alipopata utendaji mkuu DAwasco akamfanyia mpango akamhamishia dar kuja kumficha.

Luhemeja Analea wafanyakazi ambao wanafahamika wazi ni wezi wa maji kwa sababu wanagawana kinachopatikana mfano Costa ni mwizi wa maji na baadhi ya kesi zake ziko mahakamani lakini ameajiriwa kwa utashi wa Boss Luhemeja ili kukamilisha ishu zake za Migao ya fedha.

Hii ni part one. Zingine zaja...

Mheshmiwa Rais, Tunakuomba uichunguze DAWASCO tumechoka kwa kweli. Anzia kwa Luhemeja uje kwa waziri wa maji na bodi ya DAWASCO kuna uchafu wa kutisha. Serikali inaibiwa mno.

Hapa kumejaa chuki tu, Luhemeja ni mchapa kazi na ana maono ya wapi shirika linatakiwa kwenda, kaulize moshi ameacha legacy, kama ameziba mirija ya wizi wenu poleni.
 
Zaidi ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika bado tunaongelea shida ya Maji ? Yani bora hata wangeamua kulifanya Jiji la Dar ambalo liko karibu kuwa Na Ikuku likawa mfano wa kupata huduma muhimu ikiwemo Maji lakini loh?! Ktk vitu ambavyo Serikali zote duniani hivipa vipao mbele Kwa wananchi wake ni upatikani wa PUBLIC UTILITIES Kwa kila mwananchi Kwa urahisi! Lakini zaidi ya 55 years imeshindikana ! Nazani angebaki mkoloni kututawala tungepiga hatua kubwa ya maendeleo kuliko tulipo leo! Tunahitaji Maji tunahitaji Maji , Maji ni uhai!
 
Hapa kumejaa chuki tu, Luhemeja ni mchapa kazi na ana maono ya wapi shirika linatakiwa kwenda, kaulize moshi ameacha legacy, kama ameziba mirija ya wizi wenu poleni.
unatetea jambazi huna aibu? Ile kampuni ya mfukoni anayotumia kujipa tenda kubwa kubwa unaijua?
 
DALILI ZA MAJUNGU,

Unasema anajipendekeza na kuonga kwa ajili ya kuupata ukatibu mkuu,kama haya si majungu thibitisha amemuonga nani na lini na kwa nini hadi leo hakuna hatua iliyochukuliwa kama kuna ushahidi wa hili,tatizo ni hofu imekujaa umeeona nyota ya LUHEMEJA inang'aa kutokana na utendaji kazi wake na kwamba hapo kwenye nafasi ya Katibu Mkuu ndipo panakuogopesha zaidi ukaona uchafue .

Ndugu yangu kama ipo ipo tu...

Amekomba pesa za SACCOS.
Hivi kwa watumishi wote hao wa Dawasco ukachukua pesa zao wnazochanga kila mwezi ,kweli unaweza kuendelea kuwepo ofisini hadi leo ,bado hawajaandamana ama kugomea kazi.kama hali hiyo ilikuwepo toka mwanzo kwa nini wewe umetoa hizo Allegation jana ,siku zote ulikua wapi ,hayo ni majungu tu.

UNA HUSDA WEWE ACHA VIJANA WENZAKO WAPIGE KAZI....UNGEKUJA NA HOJA YA KUKOSEKANA KWA MAJI NINGEKUELEWA BAHATI NZURI RAIS WETU NI MUELEWA ANACHOHITAJI NI WANANCHI WAKE WAPATE MAJI NA SI BRA BRA UNAZOLETA HAPA.
acha kutetea ufisadi weee
 
Back
Top Bottom