Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

Hii nchi tia maji tia maji! Hivi mtu makini anahitaji kuletwa kama kifurushi? Mada zinatolewa kama vile dr. amepigwa exile kumbe yeye mwenyewe amekimbia kivuli chake. Umakini ni pamoja na kujua ya kesho?
 
Namkumbuka enzi zake huku mishipa ikiwa imemtoka alikuwa anasema "nchi haita tawalika" Sasa hivi anakula zake mihogo Canada
 
Hofu yangu ni je akiwa souble Argent?

Dr. Slaa hawezi kuwa agent. Kumbuka Slaa ni mtu wa misimamo na ana moral consciousness, halafu Slaa sio mnafiki. Kusimama na kuitetea haki kipindi kile na kukubali kupoteza nyadhifa na maslahi yake aliyatolea jasho kwa miaka mpaka kuumia mkono sio rahisi ndugu. Naunga mkono utendaji kazi huu wa magufuli, Dr. Slaa atamfaa sana. Ampe tu taasisis iliyoshindikana atainyoosha
 
Namkumbuka enzi zake huku mishipa ikiwa imemtoka alikuwa anasema "nchi haita tawalika" Sasa hivi anakula zake mihogo Canada
Mkuu ninoma huyu mtu alikuwa akiongea magogoni wanaanza kutafuta na chadema kiukweli walijichanganya!!
 
Mkuu upo lyt
 


Duh wewe una roho ngumu kweli, umemkumbuka dr Mihogo Slaa, ama kweli!
 
Ni vema sana kama angeungana na kufanya kazi na wewe kwani ni makini sana kama walivyo baadhi ya mawaziri wako walio makini kama

Hussein Mwinyi
Makame Mbarawa na
Joyce Ndalichako
Angalau umekiri kuwa kuna mawaziri mizigo!
Kwa nini usimshauri rais wetu mwema kuanza na Zitto ambaye yupo karibu wakati mnafanya robbing kumleta Slaa?
 
Slaa aletwe maana ni mtu makini
Af CHADEMA ndo wamemsaliti Slaa na sio Slaa kuwasaliti chadema
 


Naunga mkono hoja, angefaa sana wizara ya elimu, though Ndalichako is equally good. Nashauri apelekwe TAMISEMI.
 
Amekusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…