Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

sijawaelewa mnaposema eti Dr slaa alinunuliwa na Membe!!ina maana alimnunua before July 2015?na kama alinunuliwa Membe after July 2015 ikikuwa kwa sababu gani hasa?ebu tupeni Maelezo? wekeni na ushahidi kama receipt au mkataba!!
Mkuu upo sahihi nimekwambia wake na ushaidi wa kununuliwa kwake wameufata
 
kweli misukule ya lumumba balaa mlimuita padre maika yote leondio mnamuona anafaa
 
Naona mshaanza kampeni za kispy ili mwisho wa siku mseme
CCm IPO na mtaji mkubwa sana wa rasirimali watu na sidhani sana kama inamuhitaji Slaa by any means
 
Ni kweli arud ili adhihilishe kile tulichomsema kutumiwa na ccm katka uchaguz. Hata siwez shangaa.
 
Naona mshaanza kampeni za kispy ili mwisho wa siku mseme
CCm IPO na mtaji mkubwa sana wa rasirimali watu na sidhani sana kama inamuhitaji Slaa by any means
Kwani mbatia alipochaguliwa ubunge alikuwa wapi vile!!
 
Ni ushauri tu mkuu kwani kikwete alipomteua mbatia kuwa mbunge ccm watu walikuwa wameisha??
 
Kwani nyie mliomusifia siku zote Leo mnamtukana??
kumbuka malaika anaweza kugeuka shetaani ila shetani haajawahi kuwa malaika,kwetu alikuwa maalaika akawa shetani sasa kwenu vipi?sio padre tena
 
Apewe uongozi katka chama kwani hata kadi ya ccm anayo.Ampe hata ukatibu wa chama atakisaidia chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…