Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

Lizaboni said:
Hofu yangu ni je akiwa souble Argent?
Yale yale ya fent ford...ama wewe ndiye Sizonje au ni mwanaye Bashite, chagua mwenyewe!
 
Hali teee ccm wanazid kuokoteza tuu naona....shamba walime wao alafu mazao anavuna mamluki... Dharau kubwa mnoo hizo kwa wana ccm...time [emoji355] will tell soon
 
Kakuya[emoji41]
 
Hatimae raisi wetu mtukufu, ameskia kilio chako.

Big up wazee wa kufukua makaburi
 
Hali teee ccm wanazid kuokoteza tuu naona....shamba walime wao alafu mazao anavuna mamluki... Dharau kubwa mnoo hizo kwa wana ccm...time [emoji355] will tell soon

Hahaha...we jamaa mchochezi sana...yaani unataka kusema kuna watu wanakomaa miaka yote hiyo kwenye chama halafu hakuna teuzi halafu anatokea mtu kiulaini tu anapewa shavu...
 
Hongera kwa ushauri wako.
Kilichofanyika ni jibu tosha kuwa Rais ni msikivu anaye kubali ushauri.
Tuendelee kumshauri Mh. Rais JPM kwa unyenyekevu.
 
Sina hakika kwamba Dr slaa ni mzalendo, kwani sioni tofauti yake na prof. I abmupil...taifa imara ni lenye upinzani imara kwakuwa wao ndy huchochea maendeleo
 
Sina hakika kwamba Dr slaa ni mzalendo, kwani sioni tofauti yake na prof. I abmupil...taifa imara ni lenye upinzani imara kwakuwa wao ndy huchochea maendeleo
Kwa hiyo wapinzani wakihitaji kwenda ccm awakatae? Halafu anaye udhoofisha upinzani ni nani kama siyo viongozi wa upinzani!
 
Kwa hiyo wapinzani wakihitaji kwenda ccm awakatae? Halafu anaye udhoofisha upinzani ni nani kama siyo viongozi wa upinzani!

Hakuna shida ya mwanachama kuhama kutoka chama kimoja kwend kingne lkn suala la uzalendo siyo suala la vyama bali ni la mtu binafsi, lkn pia kwa maslahi mapana ya taifa ili tuweze kupata maendeleo tunahitaji kuwa na upinzani thabiti kuweza kuchochea watawala kufanya vyema .
Moja ya nyenzo ya kudhoofu kwa maendeleo ya taifa ni kudhoofu kwa upinzani haijalishi umedhoofiswa na mtawala au umedhoofu kwa jitihada za wapinzani wenywe
 
God is good kaka
Nilikuwa napitia machapisho ya nyuma nikakukumbuka ndugu, najaribu kuwaza wana waoemu vindaki ndaki ambao wamekisotea chama wanajisikiaje na hizi teuzi za watu toka upinzani....najaribu kuwaza ila maana wanaofaa kupewa hizi hot posts ni wanaotoka upinzani tu kwa kuwa ni vichwa sana? Kwamba wasio na appointments ni magarasa ndani ya chama ama ni kuzidi kuwavutia wapinzani ili kuuzika kabisa upinzani? Nawaza tu...
 
Jinamizi la CHADEMA linatisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…