technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,648
- 58,453
Hakuna mkuu huyu mtu anatufaaHofu yangu ni je akiwa souble Argent?
Asante mkuu yaani huyu mtu ni muhimu sana tukiweka pembeni unafikinaunga mkono hoja!!!ampe hata taasisi moja tu inatosha!!tatizo ni bavicha na chama chao watasema eti anaminya demokrasia au eti analipa fashila!!bavicha huwa hawaoni jema lifanywalo na CCM!!
Acha uongo mkuuDr. Slaa ameshachukua uraia wa Canada hakuna uraia wa nchi 2 Tanzania, MTU amayeisaliti nchi yake na kuchukua uraia wa nchi nyingine hafai hata kwa mchuzi wala kulumagia
We kama umtaki niwewe but wazalendo wa kweli katika nchi hii najua wanamkubali!!Slaa aende zake alishapewa chake atulie wala hatumwitaji
Mkuu awezi kukujibukati ya Dr slaa na chama chako nani msaliti kwa nchi yake? kwa nini mlituletea mliyemchafu kwa zaidi ya miaka nane???
Wazalendo wa kweli wa nchi hiiMnamtaka wewe na nani?
Mkuu kwani wewe uwezi toa ushauri popote??Kwani alizopewa kuwasaliti wenzake imekwisha? Kakutumia kumlilia Debe? Hatujui kama anayo mawasiliano? Wewe jali watoto wako kama amejipanga folleni kwenda Chopin. Us ngoswe mwacjie mwenyewe
ungemtaja kuondoa hz dharauHii ni dharau kubwa kwa ccm! Yani ina maana ndani ya chama hakuna mwingine yoyote anayefaa zaidi ya Slaa? Tuwe watu wa tafakuri
hako kazee Dr Slaa si kaadilifu hata kidogo kana njaa Hatari pia kanapenda kuchepuka kisiasa ndiyo maana kalinunuliwa kirahisi na Membe kakatorokea Canada , Magufuli akijichanganya akakaleta ccm atajutia uamuzi wake .Mweshimiwa Rais Dr: Magufuli ningependa kama utapangua safu yako ya uongozi mlete Dr slaa huyu anaweza kuwa kiungo mzuri wa kwendana na kasi yako!
Ni mtu mwadilifu !!
Mtu mtiifu Mwenye pia hofu ya mungu!!
Dr slaa naamini kabisa bado ana uwezi wa kulitumikia taifa kutoka na misimamo yake thabiti wengi mtakuwa mashaidi jinsi alivyokuwa ameijenga chadema kufanya kuwa taasisi imara huko nyuma misimamo yake juu ya mustakabari wa nchi hii anazo sifa zote za kufanikisha ndoto yake ya kulitumikia taifa kwa njia nyingine!!
Rais wetu naamini wewe ni msikivu. Tafathari lifanyie kazi jambo hili
Huyu mtu anakufaa sio lazima awe waziri hapana ilimladi aweze kulisaidia taifa!!
Ni vema sana kama angeungana na kufanya kazi na wewe kwani ni makini sana kama walivyo baadhi ya mawaziri wako walio makini kama
Hussein Mwinyi
Makame Mbarawa na
Joice Ndalichako
Rais magufuli mlete Dr slaa!!