Mh. Rais ni vizuri kuwa na mabadiliko na tumeona mabadiliko hapa na pale. Japokuwa wewe si Malaika hatutegemai uwe 100% perfect.
Hili swala la Mwenge kwa miaka mingi limetesa sana watumishi wa UMMA.
Mojawapo ni watumishii kulazimishwa KUCHANGA CHANGA hela za mbio za Mwenge. Na hata wengine KUPOTEZA KAZI kwa sababu ya mbio hizi.
Michango hiyo si kwamba ni ya hiari bali ni kuwa kila mtumishi ANAKATWA.
Hasa kwenye Mahalmashauri ndo usiseme.
Kutokana na MBADILIKO yako uliyoyaazisha ya kulipa mikopo ya HELSB Kuna watumishi wengine ambao sasa wanakatwa madeni ya HESLB. Kile kinachobaki ni hela ndogo sana.
Wengine hata kale ka mshahara HAKAWATOSHI kabisa baada ya MAKATO ya michango hiyo. Ikiwa itakupendeza, Jaribu kuona ni vipi MBIO ZA MWENGE za MWAKA HUU zitakuwa na MABADILIKO tofauti na mbio za miaka iliyopita.
Hayo ndo mabadiliko watanzania walikuwa WANAYALILIA.
Jambo jingine ambalo kama unaweza kuliangalia pia ni kuhusu Watumishi kulazimishwa KUKESHA kwenye Mwenge. Hata Madaktari hulazimishwa kuhudhuria sherehe hizo at the expense ya WAGONJWA hospitalini.
hili nalo liangalie.
Ni ushauri tu. You have the final say!