Pasco unaweza usinielewe lakini ukweli utasimama. Huyo mkuu mwenyewe hawapendi licha ya kuwataka wapinzani kufanya nao kazi. Na teuzi zake zinalenga kitu fulani kama huoni hili e.g.Wanabodi,
Kwa kilichotokea leo Arusha, Watendaji wa serikali wanahitaji kupigwa msasa wa somo linaloitwa "Managing Diversity " ila wapinzani nao waache mambo yao! .
Kiukweli kabisa nina mashaka na IQ ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, ila tabia za Mbunge wa Arusha, Mhe. Godbless Lema zinaeleweka.
Gambo anajisikia ni mungu mtu, mtu mwenye cha Mkuu wa Mkoa hawezi kuacha kumtaja mbunge wa eneo husika hata kama humpendi vipi.
Magufuli, huyu Gambo hakufai! ; ila Lema nae zile ni fujo, kwa kutokutajwa tuu, you would lose nothing kwa kuwa calm! .
Pasco
....Inauma sana, nimejaribu kijivisha viatu vya lema nkajua leo ningerusha ngumi!
Lema kaongea kwa uchungu kama amehangaika usiku na mchana kwa ajili ya mradi ule....
Watu wengine mnaongea kama mmekunywa chimpumu. Hivi mkuu wa mkoa kiitifaki akimtaja Lema katika uzinduaji huo kuna ubaya? achilia mbali kwamba yeye ndo kaitafuta ardhi na wafadhili watakaoijenga hospitali hii.
Inauma sana, nimejaribu kijivisha viatu vya lema nkajua leo ningerusha ngumi!
Lema kaongea kwa uchungu kama amehangaika usiku na mchana kwa ajili ya mradi ule....
Ndo ujue bangi ni nzuri mana zimemsaidia Lema kujitahidi kadri ya uwezo wake mpaka Mradi huo umekamirika, kuliko Rais kuchagua madeiwaka wanamuaibisha leo mbele ya wahisani..nitaendelea kusema kuwa kuna watu Uongozi hauwapendi ila wao uongozi wanaupenda
....Hana lolote Lema, njaa ZAKE TU. Alitaka wamtaje na yeye mbele ya wazungu yule.
Sasa Gambo ana ukidume gani bila polisi, hao wenzake wanaoachwa ni kina nani? akubali tu leo kalitia taifa doa mbele ya wahisani kwa ujinga wakeLeo nimetambua kuwa vidume vimekutana ingawa Lema amezidi ukorofi. Mbona wenzake maranyingi wanaachwa?
Sasa Gambo ana ukidume gani bila polisi, hao wenzake wanaoachwa ni kina nani? akubali tu leo kalitia taifa doa mbele ya wahisani kwa ujinga wake
....
.....mgumba na Id
Ndo mnavyojidanganya yani Lema ahangaike kushughulikia huo mradi harafu mteule wa Rais from nowhere anajifanya anatema cheche bila kutoa jasho..hata Magufuli mwenyewe anapozindua lazima aonyeshe appreciation anapofungua.. kwa Kikwete tokana na miradi ambayo aliiacha inashughulikiwa na imekamilika akiwa ameshaondoka madarakaniAliyelia ndo katia doa. Kwani shida nani kaleta? Lema amedai hajatajwa!!! mhoni huyo. Aende kuzindua matawi ya wakeleketwa. Wengi hamjui kuwa mbunge ni mtazamaji kama mwandishi wa habari tu katika maswala ya utendaji ndo shida yenu.
Ndo mnavyojidanganya yani Lema ahangaike kushughulikia huo mradi harafu mteule wa Rais from nowhere anajifanya anatema cheche bila kutoa jasho..hata Magufuli mwenyewe anapozindua lazima aonyeshe appreciation anapofungua.. kwa Kikwete tokana na miradi ambayo aliiacha inashughulikiwa na imekamilika akiwa ameshaondoka madarakani
Aibu aibu aibu please Mheshimiwa take action kabla hawa wazungu hawajatangaza Tanzania haswa jiji la Arusha si sehemu salama kutembelea.
Tutapoteza watalii kwasababu ya Lema na Mrisho.
Ni jambo la kusikitisha sana kwa taifa hili kisiwa cha amani kwa kutokea vitendo hivyo. Mhe Rais Magufuli ulisema mara nyingi uchaguzi umeisha sasa tuchape kazi what's wrong na hawa wateuzi wako ku behave like this.
Lema ni elected na Gumbo ni nominated si vizuri kwa Mkuu wa Mkoa kuonyesha tabia hiyo.
Mhe. Rais Magufuli kuwa makini kwa uteuzi wako wa hawa viongozi waandamizi otherwise watakuharibia legacy yako.