Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako linahitajika

Mkuu Pasco nimesikitika sana leo tena mbele ya wafadhili zinazuka fujo za namna ile aiseee ninaona bado safari ni ndefu ili tufike tuendako
 
Wanabodi,

Kwa kilichotokea leo Arusha, Watendaji wa serikali wanahitaji kupigwa msasa wa somo linaloitwa "Managing Diversity " ila wapinzani nao waache mambo yao! .

Kiukweli kabisa nina mashaka na IQ ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, ila tabia za Mbunge wa Arusha, Mhe. Godbless Lema zinaeleweka.

Gambo anajisikia ni mungu mtu, mtu mwenye cha Mkuu wa Mkoa hawezi kuacha kumtaja mbunge wa eneo husika hata kama humpendi vipi.

Magufuli, huyu Gambo hakufai! ; ila Lema nae zile ni fujo, kwa kutokutajwa tuu, you would lose nothing kwa kuwa calm! .
Pasco
Pasco unaweza usinielewe lakini ukweli utasimama. Huyo mkuu mwenyewe hawapendi licha ya kuwataka wapinzani kufanya nao kazi. Na teuzi zake zinalenga kitu fulani kama huoni hili e.g.
- Hebu chukulia uteuzi wa Gambo na hata yule D.C. wa Ikungi ni kuwa angependa kuwapa wakati mgumu wapinzani wake no matter what.

Viongozi wanaotokana na CCM wanaona kama vile wanaingiliwa kwenye mambo yao ya utawala, kitu ambacho ni tofauti kwa dunia ya leo ya siasa ya vyama vingi.

Tiba ya jambo hili ni kuwa na katiba nzuri ya wananchi itakayoainisha mamlaka na mipaka ya madaraka ya viongozi wetu wa kuchaguliwa na wale wa kuteuliwa
 
Kinachofanywa na gumbo ndicho kilichofanywa na mkubwa wake kule kinyerezi SIWEZI KUMPA MTOTO WA JIRANI CHAKULA WAKAT WA KWANGU ANA NJAA hizo ni tabia zao zishaingia kwenye damu toka kwa baba yao had kwa watoto akili za kiafrika ndivyo zilivyo chama kwanza taifa baadae.
 
Ninyi mnashikilia siasa kuliko utendaji. Lema anaweza pata hela za ufadhili kwa kazi za serikali? Kwa nini asipeleke kwa vikundi au kanisa lisimamie?

Ninyi mnaongea ambao hata kazi za serikali hamjawahi fanya. Lema kama amehusika ni kupata ardhi.

Lema ameongea kudhungu pale kwa sababu amepata aibu ya kutotajwa si kwa sababu ya msaada kwa ujenzi wowote pale.

Watu wengine mnaongea kama mmekunywa chimpumu. Hivi mkuu wa mkoa kiitifaki akimtaja Lema katika uzinduaji huo kuna ubaya? achilia mbali kwamba yeye ndo kaitafuta ardhi na wafadhili watakaoijenga hospitali hii.
 
Leo nimetambua kuwa vidume vimekutana ingawa Lema amezidi ukorofi. Mbona wenzake maranyingi wanaachwa?
Ndo ujue bangi ni nzuri mana zimemsaidia Lema kujitahidi kadri ya uwezo wake mpaka Mradi huo umekamirika, kuliko Rais kuchagua madeiwaka wanamuaibisha leo mbele ya wahisani..nitaendelea kusema kuwa kuna watu Uongozi hauwapendi ila wao uongozi wanaupenda
 
Aliyelia ndo katia doa. Kwani shida nani kaleta? Lema amedai hajatajwa!!! mhoni huyo. Aende kuzindua matawi ya wakeleketwa. Wengi hamjui kuwa mbunge ni mtazamaji kama mwandishi wa habari tu katika maswala ya utendaji ndo shida yenu.
Sasa Gambo ana ukidume gani bila polisi, hao wenzake wanaoachwa ni kina nani? akubali tu leo kalitia taifa doa mbele ya wahisani kwa ujinga wake
 
Aliyelia ndo katia doa. Kwani shida nani kaleta? Lema amedai hajatajwa!!! mhoni huyo. Aende kuzindua matawi ya wakeleketwa. Wengi hamjui kuwa mbunge ni mtazamaji kama mwandishi wa habari tu katika maswala ya utendaji ndo shida yenu.
Ndo mnavyojidanganya yani Lema ahangaike kushughulikia huo mradi harafu mteule wa Rais from nowhere anajifanya anatema cheche bila kutoa jasho..hata Magufuli mwenyewe anapozindua lazima aonyeshe appreciation anapofungua.. kwa Kikwete tokana na miradi ambayo aliiacha inashughulikiwa na imekamilika akiwa ameshaondoka madarakani
 
Nimesema kama alihangaika angepeleka kanisani au ajenge nyumbani kwake. Hakuna mradi unafanyika bila baraka za serikali kama unatakiwa ufanyike chini ya serikali. Kama angetambua hilo asjingelia kwa kidhungu leo.

We nipigie picha hata ya mradi wa kuzalisha kuku uliozinduliwa na mbunge katika Tanzania hii. Ninyi mnaona Lema bonge la kichwa, wengine tunaona watu wanapoteza muda wa kukumbatia mtu anayeshindwa hata kujua siasa zinataka nini.

Na hiki ndo kinaua CDM kwa sasa, hakuna anayetaka kubadili mfumo wa kudili na mambo ya Awamu ya Tano. Tusipobadilika utakuta tunadumaa kiakili na kisiasa.
Ndo mnavyojidanganya yani Lema ahangaike kushughulikia huo mradi harafu mteule wa Rais from nowhere anajifanya anatema cheche bila kutoa jasho..hata Magufuli mwenyewe anapozindua lazima aonyeshe appreciation anapofungua.. kwa Kikwete tokana na miradi ambayo aliiacha inashughulikiwa na imekamilika akiwa ameshaondoka madarakani
 
Aibu aibu aibu please Mheshimiwa Rais Magufuli take action kabla hawa wazungu hawajatangaza Tanzania haswa jiji la Arusha si sehemu salama kutembelea.
Tutapoteza watalii kwasababu ya Lema na Mrisho.
Ni jambo la kusikitisha sana kwa taifa hili kisiwa cha amani kwa kutokea vitendo hivyo. Mhe Rais Magufuli ulisema mara nyingi uchaguzi umeisha sasa tuchape kazi what's wrong na hawa wateuzi wako ku behave like this.
Lema ni elected na Gumbo ni nominated si vizuri kwa Mkuu wa Mkoa kuonyesha tabia hiyo.
Mhe. Rais Magufuli kuwa makini kwa uteuzi wako wa hawa viongozi waandamizi otherwise watakuharibia legacy yako.
 
Toa jibu wapi kosa la Gambo, haya maneno yasiyotoa taswira isio kamilifu mnafanya watu walaumu kisiasa zaidi?
Aibu aibu aibu please Mheshimiwa take action kabla hawa wazungu hawajatangaza Tanzania haswa jiji la Arusha si sehemu salama kutembelea.
Tutapoteza watalii kwasababu ya Lema na Mrisho.
Ni jambo la kusikitisha sana kwa taifa hili kisiwa cha amani kwa kutokea vitendo hivyo. Mhe Rais Magufuli ulisema mara nyingi uchaguzi umeisha sasa tuchape kazi what's wrong na hawa wateuzi wako ku behave like this.
Lema ni elected na Gumbo ni nominated si vizuri kwa Mkuu wa Mkoa kuonyesha tabia hiyo.
Mhe. Rais Magufuli kuwa makini kwa uteuzi wako wa hawa viongozi waandamizi otherwise watakuharibia legacy yako.
 
Kumbukeni hadithi ya yule jamaa aliyekuwa anaoga and then mwendawazimu akamuibia nguo, akatoka bafuni akiwa uchi anamfukuza mwizi mwendawazimu. Kama huo mradi wa hospital ya kina mama na watoto ulibuniwa na Mbunge wa Arusha kulikuwa hakuna umuhimu wa Mkuu wa Mkoa kwenda kushiriki hata kama alipata barua ya kualikwa. Mkuu wa Mkoa angeteua mtu wa kwenda kumwakilisha kwa manufaa ya watu Arusha, kama huo mradi usipofanikiwa lawama zitaenda kwanani. Uvumilivu katika siasa kwa maendeleo ya nchi ni muhimu.
 
1476829924995.jpg
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom