Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,224
Hata mimi sikatai,Ruge ameteketeza watu kwa maelfu na huyo mhindi,watu walikufa sana sana,,lakini nao ni binadamu wanastahili msamaha pia...Kwani na wao wametubu!?
Wamemaliza mamilioni ya Watanzania afu waachiwe kea sababu wamekonda tyu baaaas!!!