Tang Zhou
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,206
- 2,587
Ndo sababu mkamwua? Ahsante kwa kutusaidia Mkuu...uzuri akili hamna, huwa mnakaa mwanzo halafu badae mnakiri wenyewe...kipindi kile tuliposema mlimwua Dr.Mvungi mlikanusha, pumbavu sana mashoga wa LumumbaRais Magufuli amenifurahisha kwa kuwa mkweli kwamba hakuwahi kuinadi katiba mpya na wala siyo kipaumnele chake hata sasa.
Kauli hii ilinifanya nirudi nyuma nilitafakari Bunge maalumu la katiba na ile Tume ya Jaji Warioba. Nikawakumbuka akina Prof Kabudi na kijana Polepole walivyokuwa chachu ya matumaini ya " hiyo" katiba mpya. Tena nikamkumbuka Prof Lipumba na timu nzima ya UKAWA walivyotokomea mitini wakati ule wa BMK tena bila sababu zenye mashiko. Nikamkumbuka "mtaalamu" na injini iliyowezesha kupatikana Katiba Pendekezwa mzee Chenge aka Joka la Makengeza na timu yake ya akina Dr Tulia. Ndipo kwa mbali nimebaini wslioitaka kwa ukweli kabisa Katiba mpya ni Dr Sengodo Mvungi rip kwa upande wa Tume ya Warioba na Mwanasheria mkuu wa Zanzibar kwa upande wa BMK wengine walikuwa wasindikizaji tu.
Chukua mfano wa wabunge wa chadema wanashindwa kutengeneza Katiba yao ili wajiongoze vizuri na badala yake wanakimbilia CCM, je hawa ndio wataweza kutengeneza Katiba ya wananchi?.......au wataenda kushibisha matumbo yao tu.
Niishie hapo!