Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Rais Magufuli amenifurahisha kwa kuwa mkweli kwamba hakuwahi kuinadi katiba mpya na wala siyo kipaumnele chake hata sasa.
Kauli hii ilinifanya nirudi nyuma nilitafakari Bunge maalumu la katiba na ile Tume ya Jaji Warioba. Nikawakumbuka akina Prof Kabudi na kijana Polepole walivyokuwa chachu ya matumaini ya " hiyo" katiba mpya. Tena nikamkumbuka Prof Lipumba na timu nzima ya UKAWA walivyotokomea mitini wakati ule wa BMK tena bila sababu zenye mashiko. Nikamkumbuka "mtaalamu" na injini iliyowezesha kupatikana Katiba Pendekezwa mzee Chenge aka Joka la Makengeza na timu yake ya akina Dr Tulia. Ndipo kwa mbali nimebaini wslioitaka kwa ukweli kabisa Katiba mpya ni Dr Sengodo Mvungi rip kwa upande wa Tume ya Warioba na Mwanasheria mkuu wa Zanzibar kwa upande wa BMK wengine walikuwa wasindikizaji tu.
Chukua mfano wa wabunge wa chadema wanashindwa kutengeneza Katiba yao ili wajiongoze vizuri na badala yake wanakimbilia CCM, je hawa ndio wataweza kutengeneza Katiba ya wananchi?.......au wataenda kushibisha matumbo yao tu.
Niishie hapo!
Ndo sababu mkamwua? Ahsante kwa kutusaidia Mkuu...uzuri akili hamna, huwa mnakaa mwanzo halafu badae mnakiri wenyewe...kipindi kile tuliposema mlimwua Dr.Mvungi mlikanusha, pumbavu sana mashoga wa Lumumba
 
😆😆😆
Kwa matumizi yako ya lugha sasa siwezi kabisa walaumu jamaa.kuna aina ya sehemu ambazo hata waongeaji wanapaswa kuwa smart upstairs so ndugu yangu usilaumu.wewe kuna sehemu zako unaweza fit kabisa.

Mimi kwa kufahamu kuandika nimepata faida nyingi sana.naomba nisiziorodheshe.nakushauri usidharau suala la kujua kuandika na kuongea.ni sehemu pia ya kupima intelligence ya mtu.so just take it easy.i am sure there are some places you really fit.every dog has its day.

sawa kwani wewe unataka nini???
wewe tangu ujue kuandika umefaidika na nini???
bahati mbaya hufahamu typing error katika hizi keyboard
ACHA SHOBO
 
Kwa matumizi yako ya lugha sasa siwezi kabisa walaumu jamaa.kuna aina ya sehemu ambazo hata waongeaji wanapaswa kuwa smart upstairs so ndugu yangu usilaumu.wewe kuna sehemu zako unaweza fit kabisa.

Mimi kwa kufahamu kuandika nimepata faida nyingi sana.naomba nisiziorodheshe.nakushauri usidharau suala la kujua kuandika na kuongea.ni sehemu pia ya kupima intelligence ya mtu.so just take it easy.i am sure there are some places you really fit.every dog has its day.
sawa lakini.nimekuambia ACHA SHOBO mkuu shida nini?
 
Sidhani kama kutakuwa na uhuru wa kuhoji ununuzi wa madiwani na wabunge na tume huru ya uchaguzi. Itakuwa ni kusifu kusifu na kusifu tu.
UDSM wajihadhari kwa kuandaa vitu bogus kama hili "kongamano" na kumshirikisha Mkuu wa Nchi ambaye hapendi kukosolewa faraghani nahadharani. Wanazidi kushusha hadhi ya chuo kama academic institution.
Hili ni Kongamano la Hali ya uchumi na siasa au Kongamano la "kusifu" na "kuabudu"??
Hili si kongamano huwezi kuendesha kongamano huru linalohusu siasa likiwa na mwenyekiti mmoja tu wa chama kinachoongoza nchi akitetea hoja zake bila kusikilizwa upande wa pili, pia uwepo wa raid ndani ya kongamano kunajaza dola kutishia usalama wa watoa hoja wengine.
Wachache niliowanukuu, mlikuwa wapi, ikiwa ni pamoja na viongozi wa upinzani, mabingwa wa kumkosoa Magufuli mitandaoni na kwenye vyombo vya habari, kutokuhudhuria na kutoa mawazo yenu?

Kutokuhudhuria kwenu/kwao ni dhahiri kelele zenu/zao ni kama za chura mtoni kumzuia tembo asinywe maji.

Hahahahahaaaaaa
 
"Siwezi kuendeleza mchakato wa katiba mpya kwanza sikuinadi wala haimo kwenye ilani"

Je Uwanja wa ndege wa Chato aliunadi? au wenyewe umo kwenye ILANI? pia fedha za ujenzi wa uwanja huo zilipitishwa kwenye bajeti ipi? zilipitishwa na bunge gani?.

Hapa #KatibaMpyaTu kwa maana bila katiba mpya wananchi hatutapiga kura 2020. Kama tatizo ni fedha wananchi tupo tayari kuchangia ili kuendesha mchakato wa katiba mpya, Pia wabunge wetu wapo tayari kukaa kwenye bunge la katiba bila kulipwa chochote ili kushughulikia ipasavyo mchakato wa Katiba Mpya.

#ChangeTanzania #IstandWithMyCountry #Tanzania
 
Attachments

  • 1623327_972531469480109_235826260405707653_n.jpg
    1623327_972531469480109_235826260405707653_n.jpg
    83.6 KB · Views: 30
"Siwezi kuendeleza mchakato wa katiba mpya kwanza sikuinadi wala haimo kwenye ilani"

Je Uwanja wa ndege wa Chato aliunadi? au wenyewe umo kwenye ILANI? pia fedha za ujenzi wa uwanja huo zilipitishwa kwenye bajeti ipi? zilipitishwa na bunge gani?.

Hapa #KatibaMpyaTu kwa maana bila katiba mpya wananchi hatutapiga kura 2020. Kama tatizo ni fedha wananchi tupo tayari kuchangia ili kuendesha mchakato wa katiba mpya, Pia wabunge wetu wapo tayari kukaa kwenye bunge la katiba bila kulipwa chochote ili kushughulikia ipasavyo mchakato wa Katiba Mpya.

#ChangeTanzania #IstandWithMyCountry #Tanzania
Hana "consistency" katika matendo na maneno yake.
 
Katiba mpya ni kitanzi cha matumizi mabaya ya kodi zetu,matumizi mabaya ya Madaraka, solution la upotevu wa ndugu zetu bila hatua kuchukuliwa.
 
Katiba mpya ni haki yetu, kwamba imeahidiwa kwenye kampeni au laa bado Tanzania inahitaji katiba ili kuendana na mazingira ya sasa
 
Mengi haya kuwepo kwenye ilani mfano kuhamia Dodoma, chatu airport, ukuta wa mererani,manunuzi ya Malaya wa kisiasa, nk.Hivo hata katiba sio Hoja kwa kuwa haikuwepo kwa ilani. Wajumbe watakaa bure kwa gharama zao wako tayari.
 
Hivi hio katiba mpya haiondoi ile kinga ya kushtakiwa kwa kiongozi aliekua dikteta kweli?
 
Katiba mpya ni haki yetu, kwamba imeahidiwa kwenye kampeni au laa bado Tanzania inahitaji katiba ili kuendana na mazingira ya sasa
Hatuwezi ongozwa na katiba ya Miaka 47,tunataka ya wananchi ambayo itatuletea viongozi sahihi, wahuni na vichaa wasipate nafasi ya kuchezea kodi zetu.
 
Ujanja ni kujipendekeza kwa Rais tu hata kama huridhiki na utendaji wake mbovu....teuzi ni nyingi kwa watu bogus,ukanda,ukabila,urafiki,ushoga na ukereketwa.
 
Katiba ya Warioba itaendelea kusubiri..'huu sio wakati wa Ku argue,ni wakati wa kufanya kazi..' Rais

Pumbaf!
Unafanyaje kazi kwenye mazingira ya Utawala usio fuata Katiba na wala hautaki kusikia KATIBA MPYA?
Kwa taarifa yako Katiba ni kila kitu. Nchi zilizoendelea kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na zingine zilizopiga hatua kubwa ya kimaendeleo zingepuuza KATIBA kama Rais wako Magufuli zisingefika hapo zilizopo.

Baba wa Taifa aliwahi kusema, nanukuu:''ILI NCHI IENDELEE INAHITAJI VITU 4: 1. WATU 2. ARDHI. 3. SIASA SAFI na 4. UONGOZI BORA. Kwa sasa Tanzania inakosa vitu 2 muhimu vya mwisho: SIASA SAFI na UONGOZI BORA. Nchi hii imejaliwa WATU(more than 50 milions).na ARDHI KUBWA ya kutosha. TATIZO NI SIASA UCHWARA ZA CCM BA UONGOZI WA HOVYO WA CCM. Ndo maana nchi bado inapiga marking time!!!
 
Back
Top Bottom