Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,413
- 36,573
Kafanya vice versaZamani zilkua zinamvaa yeye, tofauti na sasa anazivaa yeye...tehteehh
Zamani zilkua zinamvaa yeye, tofauti na sasa anazivaa yeye...tehteehh
KomaaaUsukuma ni mzigo mjini
View attachment 908666Wakati anaingia Mh.Rais alikuwa anavaa oversize suti zake,lakini siku hizi anavaa size yake.
Labda kutabadilika si unajua dingi akiwa mkali na home geti kali watoto ndo wanapata mimba hapo hapo geti kali ?. Aliyebana ushuzi sana utatoa sauti kubwa
Zamani zilkua zinamvaa yeye, tofauti na sasa anazivaa yeye...tehteehh
View attachment 908666Wakati anaingia Mh.Rais alikuwa anavaa oversize suti zake,lakini siku hizi anavaa size yake.
Kwa hiyo nawewe umeanzisha mada?View attachment 908666Wakati anaingia Mh.Rais alikuwa anavaa oversize suti zake,lakini siku hizi anavaa size yake.
Na bado wanasema mzigo mzito mpe/mtwike msukuma..Usukuma ni mzigo mjini
Weye ndiye umenena vema...Ikulu ni sabuni, panakung'arisha