Rais Magufuli pitia upya mkataba wa KQ na Tanzania

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,842
Magufuli please upitie upya mkataba wa KQ na Tanzania.

Wakati wa JK .. waziri Samuel Sitta aligundua huo mkataba una matatizo mengi ikiwemo KQ kuzidisha namba ya safari za kuja Tanzania kinyume na mkataba.

Naomba Rais Magufuli aupitie mkataba upya...ili twende sawa.
 
Wakenya nawafahamu vzr sana matatizo yao ya ubaguzi

Tatizo la Kenya ni wivu na kujifanya wanajuwa kila kitu kumbe wapumbavu wanatawaliwa kifamilia na kikabila.

Makampuni yao mengi yaliingia Tanzania kinyemela kufanya biashara, mashule, mabank asikomee KQ pekee.
 
Tatizo la Kenya ni wivu na kujifanya wanajuwa kila kitu kumbe wapumbavu wanatawaliwa kifamilia na kikabila. makampuni yao mengi yaliingia tanzania kinyemela kufanya biashara, mashule, mabank asikomee KQ pekee.
Lakin usisahau kwamba kenya wana watu wenyevwenye uelewa sio kama sisi tunaoburuzana tu
 
Tatizo la Kenya ni wivu na kujifanya wanajuwa kila kitu kumbe wapumbavu wanatawaliwa kifamilia na kikabila. makampuni yao mengi yaliingia tanzania kinyemela kufanya biashara, mashule, mabank asikomee KQ pekee.
Hapo ndo namkubaligi Magufuli. Hawa Wakenya wapuuzi sana. Wanadhani Tanzania ya sasa ni ile ya Mzee Mwinyi. Wakae wakijua wakimwaga ugali saa tatu asubuhi sisi huku saa tatu na dakika tano tunamwaga mboga na meza tunavunja kila mtu alale njaa.

Wajinga sana na ikiwezekana hivi vigari vyao vinavyobeba vitunguu na mahindi vipigwe pini hukohuko mpakani. Kwani stail yetu ya kuishi na corona kishkaji inawaumiza nini? Sisi tumeimudu wao waendelee kuhesabiana wagonjwa tu.
 
Ndomatatizo ya kujua kwingi. Uelewa wao waupeleke hukohuko kwao. Tatizo hamuwajui hawa viumbe. Mimi nimeishi nao ni wapuuzi sana. Wana wivu kuliko mke mwenza.
Ni kwel lakin wanapeleka vitu vyao kisomi sio kama sisi wasomi wameweka akil zao kwenye vyet wanasifia ili wanufaishe matumbo yao na sio ya wanachi wanaowatumikia.
 
Ni kwel lakin wanapeleka vitu vyao kisomi sio kama sisi wasomi wameweka akil zao kwenye vyet wanasifia ili wanufaishe matumbo yao na sio ya wanachi wanaowatumikia.
Hilo ndo tatizo la wasomi wetu. Lakini ujuaji wa Wakenya ni kuona wao ni bora kuliko mataifa mengine ya EA. Hilo ndo linafanya waanze kutikisa njiti za viberiti vya wenzao kila siku. Wakae kwakutulia.

Wao wanahesabu wenye corona kila siku. Imewasaidia nini? Sana sana wanatia hofu watu wao. Na hakuna ugonjwa mbaya kama hofu. Hofu inaua hata kuliko hiyo corona.
 
Hahaha Magufuli huwa mnamnanga lkn linapokuja swala la kazi na utendaji ninyi wenyewe ndani ya nafsi zenu mnajua kabisa kwamba ndiye pekee anayeweza kutenda na kutekeleza kwa vitendo kupigania maslahi ya Tanzania yetu, hao wengine ni wasanii tu, ...

Chagua Magufuli kwa Afya na Ustawi wa Taifa letu, Magu tena 2020/35!
 
Mkuu sema "Mimi" usiseme "sisi" kama ujinga na kuburuzwa ni wewe peke ako na vibaraka wengine!
"SiSI" kwa sababu watanzania wote ni waoga. Haiwezekan katiba mara kibao inavurugwa na sisi wananchi tumekaa tu kimya. Kenya huo upuuz haupo. Sisi hadi mahakama inaingiliwa lakin tupo kimya kama mtungi wa maji. Mtu mmoja anaongoza nchi kama familia yake tupo tuu. Alaf unataka niseme ni mm na sio sisi.
 
Wana uelewa wangeachia ardhi imilikiwe na familia chache?Watu zaidi ya Milioni wanaishi Kwa slums za kibera na mathare..uelewa wao umewasaidia nini?
Dunian kote lazma kuwe na tajir na maskin ili mambo yaende. Hamnaga usawa. Sasa sisi tunamilik ardhi lakin mbona weng bado wanakaa kwenye slums tu
 
"SiSI" kwa sababu watanzania wote ni waoga. Haiwezekan katiba mara kibao inavurugwa na sisi wananchi tumekaa tu kimya. Kenya huo upuuz haupo. Sisi hadi mahakama inaingiliwa lakin tupo kimya kama mtungi wa maji. Mtu mmoja anaongoza nchi kama familia yake tupo tuu. Alaf unataka niseme ni mm na sio sisi.
Ila ukiangalia kwenye hayo maswala wanasumbuanza zaidi wanasiasa aambao woote no wasanii tu.

Tanzaniq as well as Kenya Kun awenye uelewa na Kuna wajinga kila nchi ipo hivyo.

Shida Tanzania baadhi hawajiamini. Sisi tupo vizuri. Tena yawezekana Sana tu zaidi ya Kenya.

Kweli Kenya Kuna baadhi ya mambo wako mbele na nikutokana shida walizo nazo zinawafanya wafikirie Sana. Watangulie.

Ndio maana wanatamani tuendelee kulala.

Wanajua ukimwamsha Alie lala,. . .

Sasa tumeamua kuanza kuamka wenyewe.

Waisome
 
Magufuli please upitie upya mkataba wa KQ na Tanzania...
Wakati wa JK .. waziri Samuel Sitta aligundua huo mkataba Una matatizo mengi ikiwemo KQ kuzidisha namba ya safari za kuja Tz kinyume na mkataba..

Naomba Rais Magufuli aupitie mkataba upya...ili twende sawa..
Nadhani badala ya kuhangaika na wakenya,tungeelekeza nguvu zetu kuaddress ujinga unaowakabili watanzania ili waweze kucompete,haya mengine we are just wasting our time
 
Back
Top Bottom