Rais Magufuli: Nimeamua maisha yangu nitaishi Karagwe na siyo Chato

This guy is extremely greedy ...miaka mitano ya mwanzo kajengewa majumba ya kufikia Chato ......., hii ranch yake ya Karagwe ambayo mwaka jana Tundu aliingolea watu wakaona uwongo ......, JKT Wamefanya kazi usiku na mchana na tayari kuna majumba kama yote ya kufikia hadhi ya rais na wageni wake ...na ndio anatangaza kama Makazi yake mapya ....
Nyerere katawala miaka 24 ukiondoa nyumba aliyojengewa na jeshi na aliyojenga mwenyewe Msasani na Ndogo aliyojenga Butiama , ana nyumba gani nyingine ??/ hata nyumba aliyojenga Magomeni aliitoa bure kwa serikali ....
Mwenzake Mwinyi pamoja na kuwa alishastaafu kajengewa nyumba huko Masaki , pamoja na Mkapa ..na Kikwete anajengewa huko Kawe .....
Huyu hizi zinazojengwa na JKT ni kibabe ....bado hajasema ajengewe rasmi KIKATIBA .
 
Akihutubia maelfu ya wananchi wa Misenyi, Rais Magufuli amesema yeye maisha yake ataishi Karagwe na ndivyo alivyopendekeza na sio Chato

Akiwa na tabasamu na furaha kubwa kuhusu Karagwe sina shaka kwa maoni yangu mimi Gussie wa JF mazingira ya Karagwe hasa hali ya hewa ni safi na inavutia ukilinganisha na wakazi wa Dar es Salaam wanaovuta hewa ya ukaa mchanganyiko wa Petroli, majitaka na uozo wa uchafu wa samaki kila kona

Kwa mujibu wa ile Sheria ya kuwajengea makazi viongozi wetu ni dhahiri Rais Magufuli atajengewa nyumba sehemu anayoipenda yaani Karagwe

Amesisitiza kauli yake kuwa yeye kama mkazi wa Karagwe amefurahi kuishi na wafugaji hivyo mbunge wa hapo atatue kero za maji na umeme ili yeye atapokuwa Raia ataungana na Raia wa hapo kufanya shughuli za maendeleo kupitia mbunge atayekuwepo yeye atapokuwa Raia wa kawaida

Hii kauli imekuwa mwiba kwa watu ambao sio wazalendo wanaoshinda kutwa nzima kutunga uongo kumuhusu Mheshimiwa Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli wakimuhusisha na mambo ya Chato wakati yeye ataishi Karagwe
Tulianzia nikistaafu maisha yatakuwa Dodoma
Tukaenda tena nikistaafu Maisha yatakuwa Chato
Tukaenda tena nikistaafu maisha yatakuwa bukoba
Tukaenda tena nikistaafu maisha yatakuwa karagwe
Tukifika Uganda tushituane
 
Kwa hiyo watu wa Dar wahame pabaki wazi? Au zifanywe ji jitihada kuiondoa hiyo hali?
 
Samahani hakuna akaunti Benki yoyote Tanzania ya kutunza akiba ya maneno

Kama unayo au una taarifa niambie nitapata riba kiasi gani kwa mwaka ili nifungue akaunti ya kutunza akiba ya maneno

Mimi najua akiba ni Fweza, Pesa yaani money na vitu vyote ambavyo unaweza kuvigeuza pesa haraka kama dhahabu, Almasi

Sasa akiba ya maneno kama unayajaza moyoni yatakuletea presha kiongozi
Chakula pia ni akiba haiwekwi benki
 
Ee
Akihutubia maelfu ya wananchi wa Misenyi, Rais Magufuli amesema yeye maisha yake ataishi Karagwe na ndivyo alivyopendekeza na sio Chato

Akiwa na tabasamu na furaha kubwa kuhusu Karagwe sina shaka kwa maoni yangu mimi Gussie wa JF mazingira ya Karagwe hasa hali ya hewa ni safi na inavutia ukilinganisha na wakazi wa Dar es Salaam wanaovuta hewa ya ukaa mchanganyiko wa Petroli, majitaka na uozo wa uchafu wa samaki kila kona

Kwa mujibu wa ile Sheria ya kuwajengea makazi viongozi wetu ni dhahiri Rais Magufuli atajengewa nyumba sehemu anayoipenda yaani Karagwe

Amesisitiza kauli yake kuwa yeye kama mkazi wa Karagwe amefurahi kuishi na wafugaji hivyo mbunge wa hapo atatue kero za maji na umeme ili yeye atapokuwa Raia ataungana na Raia wa hapo kufanya shughuli za maendeleo kupitia mbunge atayekuwepo yeye atapokuwa Raia wa kawaida

Hii kauli imekuwa mwiba kwa watu ambao sio wazalendo wanaoshinda kutwa nzima kutunga uongo kumuhusu Mheshimiwa Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli wakimuhusisha na mambo ya Chato wakati yeye ataishi Karagwe
Ee Mungu Maulana waonee huruma hawa Watanzania masikini.
John Pombe amezoa pesa za Watanzania masikini, akaenda kuzirundika Chato.
Sasa anataka kuweka 'matala' na kuwanyang'ana masikini hawa kwa mara ya pili, na kwenda kurundika pesa nyingine Karagwe.
Ewe Maulana, mfumbue ubongo kiumbe wako John Pombe ili aone aibu na aache ujambazi wake wa dhuluma. Amin
 
Common. Like BWM he had three places in the country he identified as home. If you add his wife's he had four.
 
Hizo hela anazo chezea ni mishahara baki ya wafanya kazi fake! Wafanya kazi hewa !! na Mawaziri aliowatengua kiuno ghafla kama kina Lugola!! Kajitutumua kaongezea cha juu kwa kisingizio eti ana nunua ndege kwa cash money!! kumbe alikuwa anapiga cha juu!!

Sasa midege imedoda! watanzania wamegoma hawapandi wanatumia Air Msae, Dar express, Tanaganyika Bus service!! tena na hii COVID-19 heee! hayaendi popote watafugia Bata na kuku wa kizungu tu!

Midege haukuwa utaratibu wetu kwenye jumuia ya East Africa alikiuka, sisi kama wana E.A.C kazi yetu ilikuwa ni kununua kuchonga vipuri vya ndege na ufundi tuu baaasi!! Kazi ya kenya ilikuwa ni kunuunua na kuchagua ndege nzuri tu baasi!!

Kazi ya Uganda ilikuwa ni kuandaa vyuo imara na na kutoa watumishi bora, wa aina zote wa viwanja vyetu vya ndege, kuanzia Marubani mafundi, ma air hostess, wakarabatishaji wa viwanja, wafyekaji wataalamu, wapiga deki ndegeni, wapishi wazuri nk, palee SOROTI kwa wale mliosoma huko! chuo hiki kipo mpaka kesho!!

Rwanda na Brundi sababu walikuwa wapya hawa, walipewa jukumu na kazi ya kutafuta Masoko ya ndege za jumuiaya ya E.A.C Duniani, na kupeleleza viwanja imara na salama vitakavyo tumiwa na ndege zetu!!! wakati wa kutua na kupaa! sehemu km Sri lanka, Somalia nk tulikuwa hatupeleki ndege zetu! lengo ilikuwa ni sababu za kiusalama tu!

Southern Sudan ilikuwa inaandaliwa, ili kupewa majukumu mapya na kazi mpya huyu kavuruga walipo mshauri akawa mbogo! mara akamate mifugo ya Kenya! hajui kuwa wakurya, wachaga, wajaluo na wamasai kwa miaka mingi kule Kenya ni kwao!

Mzungu yeye alijikatia tu mipaka maskini wa mungu hakujua! Nyerere na Mzee Kenyatta wakaona ujinga huuu wakafuta hiyo mipaka maksudi kabisa! wenyeji hawa wa maeneo haya walikuwa wanaenda na kurudi kununua sabuni Kenya au TZ.

yeye huyu anaturudisha ukolonini! Maskini wa mungu sijui hana ufahamu huo huyu?! ametengeneza kitu flani kibaya sana jumuiani EAC!! wenye akili zao wakaliona hili wakajitoa mazimaaa! sitaki kuwataja walio ondoka kwa akili ila mnawajua, sasa tunajiandaa Ki-upya!

Viongozi wa E.A.C tulikuwa vizuri sana kwa mambo Mengi mengi tu! ila huyu katutibua jumuiya yetu! hatukuwahi kuwaza hivi! Watu vijana na wazee E.A.C wote walikuwa wanapewa upendeleo wa ajira ktk jumuiya na mafunzo sawia pia kuishi sehemu hizi kwa uwiano sawa bila kujali.

Ninaongelea suala la anga la EAC upande wa TZ Kwa sababu ndiko maeneo ambayo huyu jamaa kapachezea na kuvuruga vuruga sana, kwa tamaa ya kujitajirisha haraka haraka na kutumia siasa za hovyo hovyo kuwahadaa watanzania walio wengi vilaza!

Km jiwe huna Damu ya utajiri yote hayo ni kujilisha upepo tu yatakufia mbele yako hata kabla hujafa! achia watu wa karibu yako wafanye Mambo siyo wewe kama Rais!!

Suala lako muheshimiwa ni sawa na Baba mwenye nyumba Dukani anapataka, Jikoni anapataka, kukatia nyama anataka, kuunga chumvi, sukari yeye mm! mke hajakukimbia tu?

sasa angalia unaikimbia chato uliyoijenga kwa mikono yako mwenyewe tena bila aibu!!, ili aishi nani? chato uliyoiibia hela kibao kwa kuwabana wanyonge, na ukapajenga haswa! hiyo ni akili au kuweweseka? halafu humu kuna wapambe baridi eti wanakushangilia hustukii tu??, au ndo damu za wanyonge zinalia?

Damu za watu ambao ni innocent mzee hazitakuacha salama Nakuomba tubu mapemaa!! tena siyo usiende kwa yule yesu wa Vatican, utakoma omba Mungu wa sabato!! akupe njia! angalia sasa
badala yake bila aibu unawasuta wanao kufungua akili!! wewe hustuki tuu! au ndiyo bado Damu ya Lisu inakutesa? si uombe msamaha tu yaishe kuwa muungwana!

sasa yeye huyo lisu asipokusamehe hayo ni yake sasa! wewe umenawa watu wanakoseaga njia! Nyerere aliweza kufanya Musoma Air port iwe kubwa zaidi ya Mwanza Air port lkn hakufanya!! hujiulizi kwa nini? ..... Uzalendo wake !.

Well!! well!! tuyaache hayo tuje Kwa jumuiya yetu mama Pendwa ya kitambo ya EAC;

Hata kwa akili za kawaida tu za kuvukia barabara!! ambazo haziitaji degree!! fikiria nchi zooote E/Africa zifanye Biashara hiyo hiyo ya aina moja!!! tutafika wapi?? hivi kweli sisi ni vilaza wa kiivo jamani? Mibiashara yoote hii na watu takribani Million 200!!

nawauliza wananchi wa JF? wana EAC wote tusaidiane huyu jamaa tumfanye nini? sina chuki ila huu upigaji wa wazi wazi huu! kabisa kwa watu tulioenda shule unatia ukakasi! tukufanyeje wewe Mzee Jiwe?

hataki kuemea kwa kusafiri nje akae na wenzake wajadili masuala nyeti, kama kikwete! yeye ni humu humu tuuu! kwa wananchi tena ambao mnawaita wakulima wa kajembe ka mkono! na wafanya kazi hoi! amewanyonya damu weee! ili awe tajiri! hufiki mbali!

Yaani kama mtoto mtukutu yeye ni jikoni tuu chakula kikiiva ale yeye kwanza wadogo zake hana habari nao! ana katabia anachuma anakamata, ana ua!! kilichogemwa na wenzake ( kama JK) hata bila aibu anajipa credit,

Rais nenda nje kachume, ulie shida huko kama wenzako, ulete ndani humu tule!, siyo unafukuzana na vijitu vidogo vidogo, sijui machinga, vifanya kazi vya sirikali, house girl, Breau de change weee! kwanza hao wa humu si wanajenga humu humu tuko nao Kila siku? wanalipa kodi? kwa nini unashindana nao? wapiga kura? eti wapigaji hizo hela zinaenda wapi Ulaya au!!!

Mashirika mengi ya nje yenye tija kubwa kiuchumi yamejitoa kabisaa, hapa marais wajao wana kazi kubwa kwelikweli hatuaminiki tena kimataifa unajifanya eti ni mujinga hujui kiingereza hutaki kwenda ulaya kuemea. pia kwa sababu unahisi atakae kukaimu nafasi atagundua yako haya Madudu!

Wee!! mzee Acha kupiga mayowe! huo ndo ukweli bali acha watu waje waone wenyewe! sawa najua umeshaanza kupendekeza jina langu kushika hii nafasi, lkn nilitaka nianze mapema kabla ya hapa!
Biashara ya ndege ni ngumu sana!
 
Tulianzia nikistaafu maisha yatakuwa Dodoma
Tukaenda tena nikistaafu Maisha yatakuwa Chato
Tukaenda tena nikistaafu maisha yatakuwa bukoba
Tukaenda tena nikistaafu maisha yatakuwa karagwe
Tukifika Uganda tushituane
Huyu Kila Coroma ikipamba moto anaenda kujificha na kuzuia watu waseme hakuna

Askofu Mkuu Wa Jimbo Katoliki Arusha amefiwa na mapadre Watatu wiki hii na tayari ametoa waraka unasema " Tusitembee Juu Ya Mbigiri"
 
Back
Top Bottom