uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,424
- 1,966
Kama hajakiri kuwa chama kimemtoa jalalani,na ni chama cha piliAnaongoza chama.
kwaukubwa hapa nchini,basi la saba wanafaa sana ktk maendeleo ya nchi hii
Kama hajakiri kuwa chama kimemtoa jalalani,na ni chama cha piliAnaongoza chama.
Kwani huyu naye ni form seven?Msukuma.......
Makalio yanakuwasha?
Tatizo wanakwenda mbele kisha kurudi nyuma, ni kama kuku. Husafisha mdomo baada ya donoa donoa kadhaa ile habari pendwa utadhani kamaliza chakushangaza akigeuka kidogo hata bila kutembea unaona anaanza tena donoa.... ndiyo awamu hii.... Trial and error... matukio au mifano ni mingi...kuanzia matajili wataishi kama shetani, leo hii karibu wote wameitwa mahali patakatifu....kuokoa jahazi...Kama tunaappreciate performance na sio vyeti tu, ilikuwaje tukawatimua drivers, nurses na walimu wa primary schools waliokuwa wanaperform vizuri tu for the past 15 years or so? Huu ni unafiki
Huli zee li funza kichwani huwa analisumbuaKama tunaappreciate performance na sio vyeti tu, ilikuwaje tukawatimua drivers, nurses na walimu wa primary schools waliokuwa wanaperform vizuri tu for the past 15 years or so? Huu ni unafiki
Hydram pumps zimekuwepo nchini kwa miaka mingi na kilikuwa na kiwanda cha kuzitengeneza pale Arusha mali ya wahindi.
Tatizo la hizo pampu ni kuwa zinaendeshwa kwa nguvu ya maji, hivyo kama maji yakipungua mtoni haiwezi kufanya kazi. Kutokana na uharibifu wa mazingira mito mingi imepungua maji au kukauka kabisa na hivyo kukosekana maporomoko ya kuendesha pampu hizo. Kwa sasa ni maeneo machache sana ya Mikoa ya Njombe na Ruvuma pampu hizo zinaweza kufanya kazi na bahati mbaya kiwanda cha Arusha kilikwishafungwa.
Nimeulizaswali kama hili pia, mpaka sasa sijapewa jibu.Kama tunaappreciate performance na sio vyeti tu, ilikuwaje tukawatimua drivers, nurses na walimu wa primary schools waliokuwa wanaperform vizuri tu for the past 15 years or so? Huu ni unafiki
Mkuu hata pale bungeni Kibajaji na Msukuma hushusha nondo za uhakika isipokuwa yule jah people ndio hanaga point!
Makambako kwa akina laki si pesa!Hivi jah people no mbunge wa wapi vile
Hili nalo nenoMbowe alisomea wapi u DJ!
naomba nikujibu kama ifuatavyo:Nimeulizaswali kama hili pia, mpaka sasa sijapewa jibu.
Kwa hiyo kazi ya udereva wa gari inahitaji formal education kubwa kuliko kazi ya umeneja wa mkoa mzima?naomba nikujibu kama ifuatavyo:
1. kuna kazi zinahitaji uwezo binafsi ili kuleta matokeo tarajiwa na kuna nyingine zinahitaji elimu kuzifanya. kazi kama umeneja ni tofauti na ualimu, unesi na udereva na ili uwe dereva au nesi unahitajika uwe na cheti cha taaluma lakini hakuna cheti cha taaluma kwa umeneja ila ni uzoefu na ujuzi wako. Rais Magufuli alimpa mtu wa darasa la saba umeneja ambao ni usimamizi na ufuatiliaji na hakumpa uinjia ambayo ni taaluma
2. kazi kazi za kitaaluma, mara nyingi kuna kuongeza elimu kwa ajili kuongeza ujuzi na ili kuongeza elimu unatakiwa kuwa na vyeti vinavyohitajika. wale vyeti feki walitumia elimu za wengine kupata kazi( hiyo jinai) na pia hata kama waliongeza elimu, si yao. kazi za kitaaluma zinahitaji elimu kuzifanya kwa ufanisi.
Rais Magufuli amesema alipokuwa waziri wa ujenzi aliwahi kuteua mtu wa darasa la saba kuwa meneja wa Tamesa mkoa wa Kagera.
Dr Magufuli amesema alifanya hivyo baada ya kuona performance ya lasaba huyo ilikuwa ni nzuri kupita wale graduates aliokuwa nao.
Rais Magufuli amewasisitiza mainjinia na wasomi wengine kuwaheshimu watu wenye vipaji na ubunifu ili kwa pamoja tuweze kuyasongesha mbele maendeleo ya taifa letu.
Source Channel ten tv!
Hili nalo nenoNa wale aliowafukuza wa darasa La Saba?
Au hii KAULI imelenga kumbeba DAB ili tusiendelee kuhoji Elimu ya DAB?
Mbona hata sasa kamteua Makonda kumbe ni tabia yake.
KAMA sisi tulivyoongia chaka kumchagua phd kumbe hata ngeli tu hajui.Rais Magufuli amesema alipokuwa waziri wa ujenzi aliwahi kuteua mtu wa darasa la saba kuwa meneja wa Tamesa mkoa wa Kagera.
Dr Magufuli amesema alifanya hivyo baada ya kuona performance ya lasaba huyo ilikuwa ni nzuri kupita wale graduates aliokuwa nao.
Rais Magufuli amewasisitiza mainjinia na wasomi wengine kuwaheshimu watu wenye vipaji na ubunifu ili kwa pamoja tuweze kuyasongesha mbele maendeleo ya taifa letu.
Source Channel ten tv!