Rais Magufuli nikukumbushe kazi tuliyokutuma, maana unayofanya mengi ni Batili!

Tuwe serious kidogo watu wakikwambia nchi inakushinda uelewe ni Kwa nini inakushinda. Ni kwa sababu tulikutuma yafuatayo.

1: Ajira ilo limekushinda.
2: Elimu bure na bora inasuasua
3: Mikopo vyuoni limekushinda.
4: kupambana na ufisadi umeshindwa reference to Lugumi na Escrow.
5: Uhuru wa habari umeshindwa na utaki kukosolewa.
6: Bunge live limekushinda .
7: Katiba mpya imekushinda.
8:Uchumi limekushinda.
9: Viwanda limekushinda.
10: Demokrasia imekushinda

Hayo ndio tuliyokutuma na mengine ulijituma mwenyewe hayo ndio yanatuhusu moja kwa moja kama unafanya mengine tofauti na hapo ujue

Sasa hivi nimeanza kusikia mpango wa kutaka kupunguza wafanyakazi baadhi ya sector ya umma ingawa hata mwaka Huu bado hamjaajiri mtu hata mmoja zaidi ya kuteua .

Yaani Kikwete aliyekusanya bilioni 900 alitoa Ajira kila mwaka wakati wewe unakusanya 1.3 trillions unapunguza wafanyakazi walioajiriwa na Kikwete?

Pambana na ufisadi upate pesa watu wasome acha kulialia na Mafisadi wa nchi hii na kuwachekea.

Nasisitiza kama unafanya kinyume na hayo ni batili na utashindwa.
Maneno kuntu mkuu ilo la kupunguza watu kazi watumishi wajiandae kisaikolojia maana mkuu wa mkoa kashaanza kuligusia nalipo kwenye mpango
 
Kwahiyo hao ndio unawaona kuliko lowasa,sumaye na mbowe
Sasa nchi si ameshapewa,analialia nini sasa badala ya kuwachukulia hatua?Peleka mahakamani,hizi nyimbo za fulani fisadi zimeshatuchosha wakati mtu mwenyewe anapeta na wakikutana wanagonga cheers.Walalahoi ndio tunahangaika,wenyewe wanajuana kwa vilemba
 
Leta mizania toa pia aliyofanya kama kununua ndege,kusitisha baadhi ya sherehe nk unapofanya majumuisho lazima usiegemee upande mmoja tazama na aliyoyafanya acha nadharia zetu za kiswahili za kuangalia negative zaid,
 
Tufahamishe barabara za harimashauli zinatekelezwa na halimashauli,meya ndio mkt
shida sio meya kusimamia ndugu shida ni hela zinatoka wapi?? hata muwe na mipango majunia kama hamna pesa za ku implement equal to zero-pesa nyingi za Miradi zinatoka hazina! na kama ni insu za Halmasahuri kuna miongozo ambazo ni 26% ya mapato yanayokusanywa ktk mwezi kurudishwa kwenye kata kusaidia shughuli za maendeleo hiyo haina u ccm au uchadema isitoshe au itoshee ndio hivyo
 
Msikibie majukumu, sio kila kitu kinafanywa na serikali kuu, kuna wilaya na kata zinaongozwa na Chadema. Mbona ilani ya Chadema haitumiki huko? Mnajisahau kwamba 2020 tutaulizana kama yalio kuwa kwenye ilani za vyama vya siasa yalitekelezwa? Mjipange kujibu hizo hoja.
Nenda Kinondoni, nenda Arusha, nenda kwingineko utaona Chadema wanavyochapa kazi
 
I quess you gotta mental disorders.
Wewe umeshaachieve mangapi na ndio mwisho wa mwaka.

Mmekalia kuchonganisha tuu kisa mmekosa urais. Ndio.mjue tofauti ya kuishi na kula nyumbu vs kuishi na kula sato
Boya kweli wewe eti kukusa urais unajua maana ya kukusa urais ....

Nchi siyo ya ccm wala chadema nchi ni wananchi hasa kama Mimi tusio na vyama ....
 
shida sio meya kusimamia ndugu shida ni hela zinatoka wapi?? hata muwe na mipango majunia kama hamna pesa za ku implement equal to zero-pesa nyingi za Miradi zinatoka hazina! na kama ni insu za Halmasahuri kuna miongozo ambazo ni 26% ya mapato yanayokusanywa ktk mwezi kurudishwa kwenye kata kusaidia shughuli za maendeleo hiyo haina u ccm au uchadema isitoshe au itoshee ndio hivyo
Nenda Arusha uone jinsi barabara za mitaa zinavyong'aa, madesk ya watoto wa shule yamekamilika bila kusumbua wazazi kwa michango, vyumba vya madarasa vya kutosha hawasomi nje kama uko mkoa wa pwani na Dodoma waliopigia CCM
 
K

Kijana ni vyema ukapitia Ilani ya CCM ili kujua alichotumwa hatekelezi ama anatekeleza. Walichomtuma wananchi ndio kipo huko na unaweza kupima vyema 2020
Kazi ya kutumbua nani asiyeiweza? Km haya hayako kwenye vipaumbele vyenu sasa mnafanya nn?
 
Ukali wamaisha unatakiwa ufanye kazi,usiishi kwa mazoea na dili dili zisizofahamika
ufanye kazi zipi?? unajua maana ya kazi au unaongea kishabiki hapa! unajua jinsi kazi zinavyozalishwa (job creation),je unajua uhusiano kati ya kazi hali ya uchumi na siasa ya nchi???? je unajua umuhimu wa financial sector ktk job creation-jamani msiwe unaongea vitu kwa kufuata mukumbo kwa vile unamsikia magufuli anaongea! jaribu kupanua ubongo wako hata kwa nchi moja ujiulize juu ya hayo!
 
Hahahahahaaaaaaaa! Umesoma vema ilani ya chama chetu, CCM na kuielewa? Kama umesoma hiyo Ilani hakika utakubaliana nami kuwa Rais Magufuli anaitekeleza kwa nguvu kubwa

Sheria za jf haziruhusu kutukana

*********

Hebu vijana tutembelee maeneo mbalimbali ya akili zetu

Tuache ushabiki, TUJENGE NCHI
 
Tuwe serious kidogo watu wakikwambia nchi inakushinda uelewe ni Kwa nini inakushinda. Ni kwa sababu tulikutuma yafuatayo.

1: Ajira ilo limekushinda.
2: Elimu bure na bora inasuasua
3: Mikopo vyuoni limekushinda.
4: kupambana na ufisadi umeshindwa reference to Lugumi na Escrow.
5: Uhuru wa habari umeshindwa na utaki kukosolewa.
6: Bunge live limekushinda .
7: Katiba mpya imekushinda.
8:Uchumi limekushinda.
9: Viwanda limekushinda.
10: Demokrasia imekushinda

Hayo ndio tuliyokutuma na mengine ulijituma mwenyewe hayo ndio yanatuhusu moja kwa moja kama unafanya mengine tofauti na hapo ujue

Sasa hivi nimeanza kusikia mpango wa kutaka kupunguza wafanyakazi baadhi ya sector ya umma ingawa hata mwaka Huu bado hamjaajiri mtu hata mmoja zaidi ya kuteua .

Yaani Kikwete aliyekusanya bilioni 900 alitoa Ajira kila mwaka wakati wewe unakusanya 1.3 trillions unapunguza wafanyakazi walioajiriwa na Kikwete?

Pambana na ufisadi upate pesa watu wasome acha kulialia na Mafisadi wa nchi hii na kuwachekea.

Nasisitiza kama unafanya kinyume na hayo ni batili na utashindwa.
Yote hayo alikuahidi atayatekeleza ndani ya mwaka mmoja?
Au miaka yake kumi?

Viroba vibaya sana
 
" yaani kitu chenyewe mkopo hiiiiiii inakuwaje mwanafunzi atoke kaliua achaguliwe ud hajapewa mkopo kwenye serikali hiii utaondoka" maneno haya yanatia simanzi
 
Mtu anapita juu ya roof ya gari unategemea nini toka kwake?
Ila kweli nilishangaa presidential material anapita juu ya roof ya gari kweli nimeamini hakujiandaa kuwa rais huyu...mambo ya hovyo wadogo zetu watusumbue ajira hawana hata sisi tulio serikalini hatuna amani kila leo uovu tunaletewa haya na yale
 
Back
Top Bottom