technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,499
- 50,988
Tumezoea kuona uvunjaji wa katiba na sheria kutoka kwa utawala wa awamu ya 5.
Hivi kwanini kunyoosha nchi kusianzie kwenye mikataba mibovu?
Muhongo alifukuzwa kwa sababu ya escrow scandal na Tibaijuka kwa escrow scandal.
Sasa kwa nini Muhongo arudi kwenye baraza wakati Tibaijuka hakurudi? Au kwa vile yeye na wengine walichotea pesa Stanibic bank na hawakutajwa?
Leo hii IPTL inalipwa milioni 400 kwa siku halafu wananchi wanapandishiwa umeme kwa asilimia 8.5 Muhongo akiwa ndiye msimamizi wa kuongezeka kwa umeme huo bila sababu yeyote ya msingi .
Wakati IPTL wanajulikana ni wezi na wasumbufu wa nchi hii walifanikiwa kuchota bilioni 320 kutoka tegeta escrow.
Halafu waliosababisha wakina muhongo upo nao kwenye cabinet tena kibaya zaidi wizara hiyo hiyo..
Halafu unategemea jipya wakati huyu jamaa ndio alisema pesa si za umma. Sasa kama pesa hazikuwa za umma kwanini zinataka kulipwa Mara mbili tena chini ya Tanesco ambayo ni shirika la umma?.
Hivi Rais anapambana na wizi upi wakati wezi ndio hawa wanatamba mtaani.
Nyoosha nchi kwa kuwakamata matapeli wa nchii hii wanajulikana
Sio kuangaika na Lema na Max
Mafisadi yamekushinda.
Democrasia limekushinda
Uchumi umekushinda
Mikopo kwa vijana wetu imekushinda
Ajira zimekushinda.
Yaani kila kitu ni hovyo hovyo tu ndani ya serikali nyoosha nchi kwa kuyakamata mafisadi acha kulilia na wezi..