Rais Magufuli ni moja ya viongozi BORA duniani leo

Rais Magufuli ni moja ya viongozi BORA duniani leo

Wadau tuwe wepesi wa kukubali au kusema ukweli pale panapo stahili....President Magufuli is so far putting this country to how it should have been 20Yrs. Ago....There is a sence of discipline in many sectors around the country now guys. C'mon!!!
 
Kiongozi bora hawezi kusema wapinzani wake wasipewe pesa kwenda kutibiwa nje,huyo ni Ana roho mbaya isiyo na mfano.kipindi ichi ndio Magufuli atapiga pesa kuliko awamu zote .kwasabbu hakuna sehemu yeyote ya siasa,mikutano hakuna,bunge limewekwa kwapani.kwenye mikutano ndo tunajua yanayofanyika nchi nzima,sasa kazuia,subirini tu atoke madarakani mtasikia ufisadi wa kutisha kuliko awamu zote.ndio maana unamwona ni mkali muda wote kutisha watu,wasihoji na wasiulize chochote!
Huna taarifa za kutosha kuthibitisha kauli yako.
Ni vigumu kumdhania mtu ambaye ameshaonyesha nia yake..
Unaweza pia ukawa upo sahihi koz no one knows Someone's secret..

Ila kwa hiki kidogo anachokifanya na kinaonekana hatuna budi kumpongeza na kumsifia..[emoji122] [emoji122]
 
Ni kweli mmoja wapo wa uungu duniani na malaika wake Ni shein
 
Mimi kitaaluma ni mwanasheria, spendi kuwa biased na misukumo ya kisiasa ktk kumhukumu mtu. Ninaongozwa na wajibu wangu kusema UKWELI,UKWELI MTUPU. Magufuli is one of the best presidents of our time. Yupo kwaajili ya kutumikia watu tu. No more no less. Na alianza kuithibitisha nia hiyo alipokuwa waziri wa ujenzi. Kwa nafasi yake kama waziri wa ujenzi angeweza kuwa biliionaire kama asingekuwa mwadilifu. Sisema kwa bahati mbaya, bali kwa facts. Ktk ulimwengu wa leo kumpata raisi kama Magufuli ambaye amethibitisha pasipo kuacha shaka la maana yakwamba yupo kama mtumishi wa wananchi, is not easy. Magufuli Songambele. Wananchi tupo nyuma yako na tunakuombea. You must continue taking disciplinary actions without fear or favour. This country was rotten. Lazima kukwangua kidonda ili mgonjwa apone. Mambo ya ushikaji na kuchekeana ndo yametuweka hapa. Sasa ni hapa kazi tu. Watu tuna elimu ya Masters, na PhD on progress lakini hatuna kazi. Wakati huohuo kuna watu wana vyeti fake lakini ni wakurugenzi. Where is justice? Huu ni ufisadi wa elimu, lazima ubomolewe bila hofu. Watu wapate kazi na vyeo kwa genuine merits, siyo kuhuni. Vingevyo hakuna haja ya kusoma.
Sasa vipi kwenye katiba inatambua shughuli za vyama vya siasa sasa unasemaje yeye kuzuia kitu kilichoko kwenye katiba kwa kisingizio cha maendeleo,alafu kwanini kajenga majumba yake Chato alafu kapangisha Almashauri ya Chato na analipwa kodi,hauoni mkwapuaji asiyetaka na wenzake wakwapue ?
 
Wadau tuwe wepesi wa kukubali au kusema ukweli pale panapo stahili....President Magufuli is so far putting this country to how it should have been 20Yrs. Ago....There is a sence of discipline in many sectors around the country now guys. C'mon!!!

Kumbuka hospitali hazina dawa,sisi wafanyakazi hatujaongezewa mishahara,ajira zimesitishwa.
 
Sasa vipi kwenye katiba inatambua shughuli za vyama vya siasa sasa unasemaje yeye kuzuia kitu kilichoko kwenye katiba kwa kisingizio cha maendeleo,alafu kwanini kajenga majumba yake Chato alafu kapangisha Almashauri ya Chato na analipwa kodi,hauoni mkwapuaji asiyetaka na wenzake wakwapue ?
Kwani amefuta vyama vya siasa? Hakuna chama alichokifuta. Na kisheria mwenye mamlaka ya kufuta chama ni msajili wa vyama vya siasa. HOJA: Wanasiasa wa nchi hii ni vipofu.Wanataka muda wote kuzunguka na wananchi kwa maandamano na mikusanyiko. Wanasahau kuwa hawa wananchi ni maskini wanahitaji chakula, mavazi, malazi bora. Hivyo lazima wafanye kazi. Mfano: Wanasiasa wengi ni wafanyabiashara tena wakubwa. Wao biashara zao zinaendelea chini ya usimamizi wa wake zao na watoto wao. Lakini walalahoi wanahamisishwa waache kazi waende kwenye maandamano na mikutano ya kila siku. This is not fair at all. Ktk nchi zote, mambo ya siasa yana muda wake. Baada ya uchaguzi ni kazi tu, mpaka wakati wa uchaguzi. Baada ya uchaguzi siasa zinahamia bungeni na kuishia huko. People must work to earn their leaving. Napinga kabisa siasa za muda wote. Such kind of politics is harmful to th economy of the common wananchi. Siasa mitaani zisubiri uchaguzi.
 
Kuna tatizo moja kubwa sana linalinyemelea taifa letu...! Birds of a feather!
Endeleeni na majungu sie twatizama vitendo, mtaji wa nyumbu maneno, mtaji wa mwerevu ni vitendo..Magufuli vitendo..
 
Kwani amefuta vyama vya siasa? Hakuna chama alichokifuta. Na kisheria mwenye mamlaka ya kufuta chama ni msajili wa vyama vya siasa. HOJA: Wanasiasa wa nchi hii ni vipofu.Wanataka muda wote kuzunguka na wananchi kwa maandamano na mikusanyiko. Wanasahau kuwa hawa wananchi ni maskini wanahitaji chakula, mavazi, malazi bora. Hivyo lazima wafanye kazi. Mfano: Wanasiasa wengi ni wafanyabiashara tena wakubwa. Wao biashara zao zinaendelea chini ya usimamizi wa wake zao na watoto wao. Lakini walalahoi wanahamisishwa waache kazi waende kwenye maandamano na mikutano ya kila siku. This is not fair at all. Ktk nchi zote, mambo ya siasa yana muda wake. Baada ya uchaguzi ni kazi tu, mpaka wakati wa uchaguzi. Baada ya uchaguzi siasa zinahamia bungeni na kuishia huko. People must work to earn their leaving. Napinga kabisa siasa za muda wote. Such kind of politics is harmful to th economy of the common wananchi. Siasa mitaani zisubiri uchaguzi.
Mbona jumapili na jumamosi na ijumaa pamoja na maharusi wao mbona hamjazuia kwakuwa wanazuia watu wasifanye kazi.mbona wakuu wa wilaya na mikoa wanafanya mikutano kwenye maeneo yetu,mbona fiesta ya Tigo inapita maeneo yetu na ni wakati wa kazi ,? Tatu hizi semina na mikusanyiko ya dini mbona inafanyika muda wote hata siku za kazi kuanzia saa nane mchana kwahiyo wenyewe hawazuii watu kufanya kazi ? Kwani siasa si ni kazi Kama kazi zingine!
 
NAONA KUNA NAFASI ZILIZOACHWA NA WALE WALIOFUNGUA ACCOUNT FEKI, ZINATAKIWA KUJAZWA WATU KULE KAGERA, HAYA ANZENI KUTAMBA UWANJA WENU... MNAWEZA KUONEKANA MKAPATAMO WALAU KAUKUU KA WILAYA
 
Mimi akiweka dawa za kutosha hospitalini, akijenga miundombinu kwa uwiano (sio Dar tu) akisaidia wakulima wadogo, akirekebisha sera ya kodi kwa wafanyabiashara wadogo (unaanza biashara mwezi wa 10 unalipishw kodi ya kuanzia january), akiacha waliojiajiri kwenye siasa wafanye kazi zao (hapa kazi tu), nitajiunga kumpongeza lakini amenunua ndege, amehamia Dodoma, amemtumbua sijui nani, kwangu hayanihusu sana. Hivi ukihudumiwa vizuri TRA kwa uadilifu wote lakini unalipishwa kodi kubwaa inanisaidia nn
 
Kwa muda wa miezi 10 tangu kuchaguliwa amefanya mambo mengi sana na makubwa.

Hakuna rais yeyote ambaye amewahifanya mambo yote hayo kwa muda mfupi.

What His Excellency president Magufuli has done in such a short time is really a miracle Our nation is in his heart/soul.

Ameamua mambo na kuyatekeleza kwa wakati. Hakuna blahblah au longolongo. Wananchi tunafurahia kuwa na raisi wa aina hii.

Magufuli ni zawadi ya Mungu kwa watanzania. Watu wote wenye akili timamu wanamsifia na kujifunza kitu.

Sasa Tanzania inasikika dunia nzima kwasababu ya UCHAPAKAZI wa raisi Magufuli.

Note: Viongozi waliochini yake, mpaka kitongoji wanatakiwa kuwatumikia wanachi kwa nguvu zao zote, akili zao zote na moyo wao wote, kama anavyofanya Rais Magufuli.

Lastly but not least, Rais aendelee kuwachukulia hatua stahiki(kuwatumbua)watumishi wa umma wala rushwa,mafisadi,wazembe nk. Wananchi tunahitaji a very efficient government kama ya Kagame.

Huku chini bado kuna maeneo yenye blah blah sana. Mala uje kesho,keshokutwa,faili halionekani.Why all this?

Hatua zaidi lazima zichukuliwe.

Unaota, Ukweli Ni Kuwa Kwa Upuuzi anaoufanya Angekuwa Ni Rais Wa Nchi Kama Uingereza, Marekani, Canada, India etc. LEO ANGEKUWA JELA na ANAJUA NASEMA Ukweli. Piga Picha Uhuni anaoufanya Magufuli Kuvuruga Demokrasia, Katiba, Uhuni wa Hila za Uonevu Kisiasa, Angedumu Miezi Mingapi Kama Rais wa Marekani kabla ya Kuwa Impeached na Kuwekwa Jela!
Sasa Huo Ubora Unaouzungumzia Uko Wapi? Have a self respect for once!
 
Mimi Ingawa Simwamini Ruto makamu wake, Rais Mwenye Nia Njema na Demokrasia Africa Ni Uhuru Kenyatta. He appears to be very genuine Ila Ruto need to be stopped baada ya Uhuru. Kwa Kusema Jecha apewe Tuzo Magufuli ni sawa na Nkurunsiza. Kwamba anafanya Udhibiti wa Rushwa, etc, Hilo ni Wajibu wake Na namsifu kwa Hilo. Ila he can not force us to pay his Madawati and Panadol with the Currency of our Democracy, Freedom, Respect for the Constitution and the Rule of Law! That we shall Never relinquish in exchange for anything, The sooner he know the better!
 
Back
Top Bottom