Rais Magufuli ni moja ya viongozi BORA duniani leo

moma2k

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
1,109
Reaction score
1,423
Kwa muda wa miezi 10 tangu kuchaguliwa amefanya mambo mengi sana na makubwa.

Hakuna rais yeyote ambaye amewahifanya mambo yote hayo kwa muda mfupi.

What His Excellency president Magufuli has done in such a short time is really a miracle Our nation is in his heart/soul.

Ameamua mambo na kuyatekeleza kwa wakati. Hakuna blahblah au longolongo. Wananchi tunafurahia kuwa na raisi wa aina hii.

Magufuli ni zawadi ya Mungu kwa watanzania. Watu wote wenye akili timamu wanamsifia na kujifunza kitu.

Sasa Tanzania inasikika dunia nzima kwasababu ya UCHAPAKAZI wa raisi Magufuli.

Note: Viongozi waliochini yake, mpaka kitongoji wanatakiwa kuwatumikia wanachi kwa nguvu zao zote, akili zao zote na moyo wao wote, kama anavyofanya Rais Magufuli.

Lastly but not least, Rais aendelee kuwachukulia hatua stahiki(kuwatumbua)watumishi wa umma wala rushwa,mafisadi,wazembe nk. Wananchi tunahitaji a very efficient government kama ya Kagame.

Huku chini bado kuna maeneo yenye blah blah sana. Mala uje kesho,keshokutwa,faili halionekani.Why all this?

Hatua zaidi lazima zichukuliwe.
 
Ni kweli anafanya mambo magumu sana, Na amekuwa na wakati mgumu sababu nchi hii ilikuwa imefikia pabaya sana, uongozi wake anajitahidi kurudisha hadhi ya uongozi iliyokuwa imepotea muda mrefu, anastahili pongezi, Maendeleo yatakuwepo tu ila ainyoshe nchi kwanza, Rais tunaye na anastahili pongezi kwa hatua anazochukua kwa kila jambo.
 
Kwa muda wa miezi 10 tangu kuchaguliwa amefanya mambo mengi sana na makubwa. Hakuna raisi yeyote ambaye amewahifanya mambo yote hayo kwa muda mfupi. What His Excellency president Magufuli has done in such a short time is really a miracle Our nation is in his heart/soul. Ameamua mambo na kuyatekeleza kwa wakati. Hakuna blahblah au longolongo. Wananchi tunafurahia kuwa na raisi wa aina hii. Magufuli ni zawadi ya Mungu kwa watanzania. Watu wote wenye akili timamu wanamsifia na kujifunza kitu. Sasa Tanzania inasikika dunia nzima kwasababu ya UCHAPAKAZI wa raisi Magufuli. Note: Viongozi waliochini yake, mpaka kitongoji wanatakiwa kuwatumikia wanachi kwa nguvu zao zote, akili zao zote na moyo wao wote, kama anavyofanya Raisi Magufuli. Lastly but not least, Raisi aendelee kuwachukulia hatua stahiki(kuwatumbua)watumishi wa umma wala rushwa,mafisadi,wazembe nk. Wananchi tunahitaji a very efficient government kama ya Kagame. Huku chini bado kuna maeneo yenye blah blah sana. Mala uje kesho,keshokutwa,faili halionekani.Why all this? Hatua zaidi lazima zichukuliwe.
Naunga mkono hoja
Pasco
 
Ni mtizamo tu.Demokrasia inaruhusu kuwa namawazo tofauti.
 
Kiongozi bora hawezi kusema wapinzani wake wasipewe pesa kwenda kutibiwa nje,huyo ni Ana roho mbaya isiyo na mfano.kipindi ichi ndio Magufuli atapiga pesa kuliko awamu zote .kwasabbu hakuna sehemu yeyote ya siasa,mikutano hakuna,bunge limewekwa kwapani.kwenye mikutano ndo tunajua yanayofanyika nchi nzima,sasa kazuia,subirini tu atoke madarakani mtasikia ufisadi wa kutisha kuliko awamu zote.ndio maana unamwona ni mkali muda wote kutisha watu,wasihoji na wasiulize chochote!
 
yani kwa hili alionyehsa rangi yake halisi self alikuwa kiongozi wa umma ni kama lowassa hata umuchukie vipi bado anatakiwa apate stahiki zake kama katiba inavyosema
 
Kwa muda wa miezi 10 tangu kuchaguliwa amefanya mambo mengi sana na makubwa. Hakuna raisi yeyote ambaye amewahifanya mambo yote hayo kwa muda mfupi. What His Excellency president Magufuli has done in such a short time is really a miracle Our nation is in his heart/soul. Ameamua mambo na kuyatekeleza kwa wakati. Hakuna blahblah au longolongo. Wananchi tunafurahia kuwa na raisi wa aina hii. Magufuli ni zawadi ya Mungu kwa watanzania. Watu wote wenye akili timamu wanamsifia na kujifunza kitu. Sasa Tanzania inasikika dunia nzima kwasababu ya UCHAPAKAZI wa raisi Magufuli. Note: Viongozi waliochini yake, mpaka kitongoji wanatakiwa kuwatumikia wanachi kwa nguvu zao zote, akili zao zote na moyo wao wote, kama anavyofanya Raisi Magufuli. Lastly but not least, Raisi aendelee kuwachukulia hatua stahiki(kuwatumbua)watumishi wa umma wala rushwa,mafisadi,wazembe nk. Wananchi tunahitaji a very efficient government kama ya Kagame. Huku chini bado kuna maeneo yenye blah blah sana. Mala uje kesho,keshokutwa,faili halionekani.Why all this? Hatua zaidi lazima zichukuliwe.
1475260645155.jpg
 
Hoja bila vielelezo ni bure Mkuu, hebu tutajie hayo aliyofanya na manufaa yayo kwa taifa letu
 
Deni la taifa limepaa toka trilioni 40 hadi trilioni 51 sawa na ongezeko la asilimia 18 ndani ya miezi 10! Hakuna ajira rasimi mpya wala nyongeza ya mishahara, mzunguko wa pesa umepungua, maisha yamekuwa magumu-neema na baraka katika nchi zimetoweka! Halafu unatuletea ujinga
 
Mimi kitaaluma ni mwanasheria, spendi kuwa biased na misukumo ya kisiasa ktk kumhukumu mtu. Ninaongozwa na wajibu wangu kusema UKWELI,UKWELI MTUPU. Magufuli is one of the best presidents of our time. Yupo kwaajili ya kutumikia watu tu. No more no less. Na alianza kuithibitisha nia hiyo alipokuwa waziri wa ujenzi. Kwa nafasi yake kama waziri wa ujenzi angeweza kuwa biliionaire kama asingekuwa mwadilifu. Sisema kwa bahati mbaya, bali kwa facts. Ktk ulimwengu wa leo kumpata raisi kama Magufuli ambaye amethibitisha pasipo kuacha shaka la maana yakwamba yupo kama mtumishi wa wananchi, is not easy. Magufuli Songambele. Wananchi tupo nyuma yako na tunakuombea. You must continue taking disciplinary actions without fear or favour. This country was rotten. Lazima kukwangua kidonda ili mgonjwa apone. Mambo ya ushikaji na kuchekeana ndo yametuweka hapa. Sasa ni hapa kazi tu. Watu tuna elimu ya Masters, na PhD on progress lakini hatuna kazi. Wakati huohuo kuna watu wana vyeti fake lakini ni wakurugenzi. Where is justice? Huu ni ufisadi wa elimu, lazima ubomolewe bila hofu. Watu wapate kazi na vyeo kwa genuine merits, siyo kihuni. Vingevyo hakuna haja ya kusoma.Ukiwa mtoto wa maskini hata kama una elimu gani,kupata kazi ni ngumu sana. Ni afafhari ngamia kupita kwenye tundu la sindano,kuliko mtoto wa maskini kupata ajira ktk nchi hii.
 
Hayo mambo mazuri ungeyataja na yamewasaidia vipi wananchi wanyonge waliowengi. Kitu kimoja nimekiona kwake ambacho siwezi kukipinga hadi sasa ni ubinafsi. Sijui kua hii ni sifa nzuri kwa kiongozi wa Nchi. Mengine bado ninasubiri kuona zaidi.
 
Nimejifunza kitu hapa! Huhitaji kuzunguka dunia nzima watu wajue kwamba unafanya kazi unaweza kukaa nchini kwako ukaoiga kazi na ikaonekana dunia nzima! Kwa kweli kama kuna raisi amenifanya nikatoe sadaka ya shukrani no huyu JPM dhamira yake na vitendo vinashabihiana hivyo siangalii sana atakosea wapi! Wengi wetu waliopita samahani! Anachosema na anachofanya ni maji na mafuta havina ushirikiano! Big up magu unatuletea heshima hata huku ughaibuni tuliko!
 
Point of correction..ni bora kwa mujibu ya ripoti ya Twaweza(NGO) ya Upatu
 
Back
Top Bottom