Rais Magufuli ni moja ya viongozi BORA duniani leo

Rais Magufuli ni moja ya viongozi BORA duniani leo

Kwa muda wa miezi 10 tangu kuchaguliwa amefanya mambo mengi sana na makubwa.

Hakuna rais yeyote ambaye amewahifanya mambo yote hayo kwa muda mfupi.

What His Excellency president Magufuli has done in such a short time is really a miracle Our nation is in his heart/soul.

Ameamua mambo na kuyatekeleza kwa wakati. Hakuna blahblah au longolongo. Wananchi tunafurahia kuwa na raisi wa aina hii.

Magufuli ni zawadi ya Mungu kwa watanzania. Watu wote wenye akili timamu wanamsifia na kujifunza kitu.

Sasa Tanzania inasikika dunia nzima kwasababu ya UCHAPAKAZI wa raisi Magufuli.

Note: Viongozi waliochini yake, mpaka kitongoji wanatakiwa kuwatumikia wanachi kwa nguvu zao zote, akili zao zote na moyo wao wote, kama anavyofanya Rais Magufuli.

Lastly but not least, Rais aendelee kuwachukulia hatua stahiki(kuwatumbua)watumishi wa umma wala rushwa,mafisadi,wazembe nk. Wananchi tunahitaji a very efficient government kama ya Kagame.

Huku chini bado kuna maeneo yenye blah blah sana. Mala uje kesho,keshokutwa,faili halionekani.Why all this?

Hatua zaidi lazima zichukuliwe.
Sawa tuonane 2020
 
Mimi kitaaluma ni mwanasheria, spendi kuwa biased na misukumo ya kisiasa ktk kumhukumu mtu. Ninaongozwa na wajibu wangu kusema UKWELI,UKWELI MTUPU. Magufuli is one of the best presidents of our time. Yupo kwaajili ya kutumikia watu tu. No more no less. Na alianza kuithibitisha nia hiyo alipokuwa waziri wa ujenzi. Kwa nafasi yake kama waziri wa ujenzi angeweza kuwa biliionaire kama asingekuwa mwadilifu. Sisema kwa bahati mbaya, bali kwa facts. Ktk ulimwengu wa leo kumpata raisi kama Magufuli ambaye amethibitisha pasipo kuacha shaka la maana yakwamba yupo kama mtumishi wa wananchi, is not easy. Magufuli Songambele. Wananchi tupo nyuma yako na tunakuombea. You must continue taking disciplinary actions without fear or favour. This country was rotten. Lazima kukwangua kidonda ili mgonjwa apone. Mambo ya ushikaji na kuchekeana ndo yametuweka hapa. Sasa ni hapa kazi tu. Watu tuna elimu ya Masters, na PhD on progress lakini hatuna kazi. Wakati huohuo kuna watu wana vyeti fake lakini ni wakurugenzi. Where is justice? Huu ni ufisadi wa elimu, lazima ubomolewe bila hofu. Watu wapate kazi na vyeo kwa genuine merits, siyo kihuni. Vingevyo hakuna haja ya kusoma.Ukiwa mtoto wa maskini hata kama una elimu gani,kupata kazi ni ngumu sana. Ni afafhari ngamia kupita kwenye tundu la sindano,kuliko mtoto wa maskini kupata ajira ktk nchi hii.
Kumbe kinachowasumbua ni ajira,subirini mtaajiwa,maana kwenu ajira ni kuajiriwa na serekali.
 
Kiongozi bora hawezi kusema wapinzani wake wasipewe pesa kwenda kutibiwa nje,huyo ni Ana roho mbaya isiyo na mfano.kipindi ichi ndio Magufuli atapiga pesa kuliko awamu zote .kwasabbu hakuna sehemu yeyote ya siasa,mikutano hakuna,bunge limewekwa kwapani.kwenye mikutano ndo tunajua yanayofanyika nchi nzima,sasa kazuia,subirini tu atoke madarakani mtasikia ufisadi wa kutisha kuliko awamu zote.ndio maana unamwona ni mkali muda wote kutisha watu,wasihoji na wasiulize chochote!

MWENYE ROHO MBAYA NI WEWE, ROHO YA UBINAFSI. WAPEWE PESA NA NANI, KAMA HOSPITAL ZA HAPA ZINAFAA KWA WATANZANIA WENGIWAWO ZINAFAA KWA WAPINZANI PIA. WALIZOWEA KUJIONA WAO NI WATANZANIA ZAIDI KULIKO WATANZANIA WENGINE. WEWE NI FISADI DONDA NDUGU. UMEKABWA KOO NDIYO MAANA UNATAPIKA UJINGA. WATANZANIA SIO WAJINGA NA USICHUKUWE UPOLE WAO KUWA NI UJINGA. UFISADI ULIYOKUWEPO KWENYE SERIKALI ILIYOPITA NI UFISADI WA KUTISHA NA WA KIJINGA. HUWEZI KULIPA BILLION 37 KWENYE KAMPUNI YA MTU AMEMALIZA DARASA LA SABA NA HANA UJUZI WOWOTE KUUNGANISHA MITAMBO KABLA HATA JAZI HAJAIFANYA HUO NI WIZI NI WIZI WA KIMACHOMACHO. RAIS MAGUFULI ANA ROHO NZURI, ANGEWEZA KUFICHUWA UCHAFU WA SELIKALI ILIYOPITA, LAKINI HATA BILA YA KUFICHUWA, WATANZANIA WENYE ELIMU YAO NA WAPENDA HAKI WANAJUA VITENDO VIBAYA NA VYA UOVU WALIVYOFIFANYA VIONGOZI WA JUU IKIWA PAMOJA NA WAPINZANI. MIKATABA YA KIJINGA NA ISIYO NA FAIDA IMESAINIWA HARAKA HARAKA, ILI KUIWEKA NCHI REHANI. NCHI TATU TU KATIKA AFRICA NZIMA ZINAONGOZA KWA UCHUMI MZURI TANGU RAIS MAGUFULI ACHUKUWE MADARAKA, HATA MWAKA MMOJA HAUJAFIKA. TANZANIA IKIWA MOJAWAPO, RWANDA NA ETHIOPIA. RAIS MAGUFULI LAZIMA AWE MKALI, UCHAFU ANAOPAMBANA NAO SIO UCHAFU WA KAWAIDA, NI UCHAFU ULIYOFANYWA NA WATU HAWANA IMANI NA MWENYEZI MUNGU, WALA HAWAONI VIBAYA KUDHURUMU WATANZANIA WENZAO. NA MTU KAMA WEWE NAFKIRI NI MMOJAWAPO ULIYEKUWA UKIFAIDI KUTIBIWA NG'AMBO UKITUMIA PESA ZA WALIPA KODI MASIKINI, JE HAO MASIKINI WAKATIBIWE WAPI? RAIS MAGUFULI NI MUNGU AMETUCHAGULIA, MTU WA WAKUTUOKOA. AMALIZE MIAKA KUMI NA TUMUONGEZEE MINGINE 10 KAMA RWANDA.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
pamoja na kuwa mkuu wetu anatimiza ahadi zake kwa kasi ya kimbunga hilo halina ubishi, nampongeza sana toka moyoni kabisa na ninamuombea sana kwa Mungu ila kuna hili la kufufua viwanda alilitamka ila bado sijaliona practical! namuomba viwanda tu iwe kipaumbele chake mengine yote yatafunguka , leo nimesoma darasani huku ulaya kuwa nchi yoyote isiyo na viwanda na iliyo na idadi kubwa ya wakulima ( Tanzania ina 85% wakulima) na iliyo na masoko machache ( internationally ) itadidimia kwenye umaskini milele na milele! dawa ya umaskini wa nchi ni kuwabana watu wote kulipa kodi stahiki na kuwekeza sehemu kubwa ya revenue ya nchi kwenye industrialization and commerce sio siasa wala kilimo cha jembe la mkono! namuomba mkuu afufue viwanda (manufacturing), atafute masoko mengi nchi jirani , asisafirishe nje raw materials na wabongo wachache kama 10 % tu ndio wabaki katika kilimo cha kisasa kinachotumia zana bora za kilimo zilizotengenezwa nchini , na kuprotect viwanda vyetu dhidi ya bidhaa toka nje na watu wengi wawe viwandani hasa manufacturing , hapo ten years bongo kama ulaya! mwalimu alisema Somalia ilikuwa juu ya Korea kiuchumi miaka hamsini iliyopita ila viwanda vimeipaisha korea! pia ticha alitoa mfano, unaweza kuleta wawekezaji toka china na mitambo yao ya viwanda na technicians wao ila kazi zingine zote zifanywe na wazawa, manake wawekezaji pia ni sehemu ya industrialization! i will be happy mkuu wa kaya akisoma my comment. kwa wasomi you can read Adam Smith ( Wealth of Nations , 1776 ) kitabu ambacho ni dira ya maendeleo ya marekani na ulaya! i share what i have learnt today!
Adam Smith anazungumziaje umeme wa kulanguliwa na wa mgao wa IPTL? Wealth of Nations is never created by a ruling party illicit business practices.
 
Deni la taifa limepaa toka trilioni 40 hadi trilioni 51 sawa na ongezeko la asilimia 18 ndani ya miezi 10! Hakuna ajira rasimi mpya wala nyongeza ya mishahara, mzunguko wa pesa umepungua, maisha yamekuwa magumu-neema na baraka katika nchi zimetoweka! Halafu unatuletea ujinga

DENI HILO LILIACHWA NA JAKAYA KIWETE AMBAYE ALISHINDWA KUKUSANYA KODI. PESA ANAZOTUMIA RAIS MAGUFULI NI PESA AMEKUSANYA KODI. NCHI ILIKUWA IKITAFUNWA MCHANA NA USIKU, UNATEGEMEA NINI. RAIS MAGUFULI AMEACHIWA MZIGO MZITO, KAACHIWA WATU WAVIVU KAMA WEWE, WENYEKUTEGEMEA DILI, WATU AMBAO HAWATAKI KUFANYA KAZI, BALI KUTUMIA PESA ZA MISAADA NA WALIPAKODI MASIKINI WANAOKATWA KODI MOJA KWA MOJA KUTOKA KWENYE MISHAHARA YAO. WAKUBWA NA WENYE BAHATI ZAO WAKITIBIWA NJE. KUNA HOSPITAL ZA INDIA SASA HAZINA BIASHARA, KUNA VIWANDA VYA INDIA VYA DAWA FEKI SASA HAZINA WATEJA, KUNA MAHOTEL YA WATU BINAFSI WENGINE WALIOKUWA SELIKALINI WAKITEGEMEA MIKUTANO FEKI KUJAZA HOTEL ZAO SASA ZIMEKUWA HOSTEL. NEEMA NA BARAKA KWENYE NCHI ZILIKUWA HAKUNA, WEWE ULIKUWA UKIONA HIZO NEEMA KWASABABU ULIKUWA UKIPATA DEAL, AJIRA UNAYOISEMA ILIKUWA NI JASHO LA MASKINI ULIYOKUWA UKIWADHURUMU. WACHA MANENO MENGI KAFANYE KAZI UTAPATA AJIRA, KAMA ULIKUUWA UKINGOJA AJIRA ITATOKA KWENYE TENDA, AMA MIKATABA MIBOVU HIYO SAHAU. FANYA KAZI KAMA HUWEZI USILE.
 
Tetete....post yako inabadilisha upepo wa uzi huu. Sijui kwa nini tunakwa wepesi wa kupiga makofi?

MIEZI KUMI SASA, WATANZANIA HATUJAONA RAIS KAMA HUYU. MULISEMA NGUVU YA SODA, BASI NGUVU YA SODA ITAUKUWA MIEZI 10? UCHUMI WETU UMEKUWA, NDEGE ZINANUNULIWA BILA YA AGENT WA KIHINDI, NA TUNANUNUA MOJA KWA MOJA KUTOKA KIWANDANI, WAPIGA DEAL HAKUNA TENA NDIIYO SABABU TUNAPIGA MAKOFI. RADA AGENT, UMEME AGENT, NDEGE YA RAIS AGENT, KWANI SERIKALI ILIKUWA HAINA WAFANYAKAZI? WATANZANIA SIO WAJINGA, TUNAJUA MENGI ILA NI WAUNGWANA TUNATAKA AMANI. KWA KUONEWA NA VIONGOZI WETU TUMEONEWA, WACHA TUMUPIGIE RAIS MAGUFULI MAKOFI, ANAYOYAFANYA WENGI WAMESHINDWA. AKIMALIZA MIAKA KUMI TUMUONGEE MINGINE 10. MIAKA KUMI HAITOSHI KUISAFISHA TANZANIA INA UCHAFU WA AJABU.
 
Katika nchi ya vipofu, mwenye chongo anaonekana mfalme. Tafakari.

WATANZANIA SIO VIPOFU WALA WAJINGA. WATANZANIA NI WASTAARABU. USIUCHUKUWE USTAARABU WAO UKAFKRI NI VIPOFU. KWA UCHAFU ULIOKUWA UKIFANYIKA HAPA TANZANIA, HATA KIPOFU NA KIZIWI ALIKUWA AKIONA. TOFAUTI TUNAIONA SASA, NI KIPOFU ALIYEPOTEZA MACHO YAKE KWA UFISADI NDIYE ATASHINDWA KUONA MAMBO MAZURI ANAYOYAFANYA RAIS MAGUFULI. VIONGOZI WAWILI WAMEFUNGUA ACCOUNT KUWAIBIA WALIOPATA MAAFA, SASA WAMO NDANI WAMESHITAKIWA. UFISADI WA RADA, UFISADI TEGETA ESCROW, UFISADI EPA, WATU BADO WANAFAIDI PESA ZA MASIKINI. KAMA UONGOZI WA AWALI UNGEKUWA KAMA WA RAIS MAGUFULI THUBUTU WEZI WENGEFIKIRIA MALA MBILI KABLA YA KUIBA, NA NCHI ISINGEKUWA NA MADENI YA KIPUUZI KAMA TULIYONAYO LEO. LAKINI KUIBA ILIKUWA NI SIFA, USIPOKUWA MWIZI WEWE NI KIPOFU NA MJINGA. WATANZANIA WAPENDA HAKI TUKO NYUMBA YA RAIS MAGUFULI MPENDA HAKI, MAFISADI LIENI TU. FANYENI KAZI HAKUNA DEAL TENA MTASEMA MUTACHOKA, MTAMUITA MAJINA MUTACHOKA, KWA SASA YEYE NDIYE RAIS NA WENGI TUNAMPENDA.
 
Kwa muda wa miezi 10 tangu kuchaguliwa amefanya mambo mengi sana na makubwa.

Hakuna rais yeyote ambaye amewahifanya mambo yote hayo kwa muda mfupi.

What His Excellency president Magufuli has done in such a short time is really a miracle Our nation is in his heart/soul.

Ameamua mambo na kuyatekeleza kwa wakati. Hakuna blahblah au longolongo. Wananchi tunafurahia kuwa na raisi wa aina hii.

Magufuli ni zawadi ya Mungu kwa watanzania. Watu wote wenye akili timamu wanamsifia na kujifunza kitu.

Sasa Tanzania inasikika dunia nzima kwasababu ya UCHAPAKAZI wa raisi Magufuli.

Note: Viongozi waliochini yake, mpaka kitongoji wanatakiwa kuwatumikia wanachi kwa nguvu zao zote, akili zao zote na moyo wao wote, kama anavyofanya Rais Magufuli.

Lastly but not least, Rais aendelee kuwachukulia hatua stahiki(kuwatumbua)watumishi wa umma wala rushwa,mafisadi,wazembe nk. Wananchi tunahitaji a very efficient government kama ya Kagame.

Huku chini bado kuna maeneo yenye blah blah sana. Mala uje kesho,keshokutwa,faili halionekani.Why all this?

Hatua zaidi lazima zichukuliwe.

HE IS OUR GOD SENT PRESIDENT AND I AM PROUD TO CALL HIM MY PRESIDENT. MAY GOD BLESS HIM
 
Ahsanteni sana Mkuu.

Kiongozi bora hawezi kusema wapinzani wake wasipewe pesa kwenda kutibiwa nje,huyo ni Ana roho mbaya isiyo na mfano.kipindi ichi ndio Magufuli atapiga pesa kuliko awamu zote .kwasabbu hakuna sehemu yeyote ya siasa,mikutano hakuna,bunge limewekwa kwapani.kwenye mikutano ndo tunajua yanayofanyika nchi nzima,sasa kazuia,subirini tu atoke madarakani mtasikia ufisadi wa kutisha kuliko awamu zote.ndio maana unamwona ni mkali muda wote kutisha watu,wasihoji na wasiulize chochote!
 
Deni la taifa limepaa toka trilioni 40 hadi trilioni 51 sawa na ongezeko la asilimia 18 ndani ya miezi 10! Hakuna ajira rasimi mpya wala nyongeza ya mishahara, mzunguko wa pesa umepungua, maisha yamekuwa magumu-neema na baraka katika nchi zimetoweka! Halafu unatuletea ujinga
Na unaambiwa uchumi umekuwa kwa asilimia 7.9 mpaka robo ya pili ya mwaka wa fedha 2016. Inayokuambia hivyo ni Tume ya Taifa ya Takwimu. Cha kushangaza robo ya pili ya mwaka wa fedha 2016/2017 imenza leo Jumamosi tarehe 1 na itaisha Desemba 31 2016. Kwa maneno mengine uchumi umekuwa kwa asilimia 7.9 kwenye quarter ambayo tulikuwa hatujaianza! Hivyo Tume inamdanganya nani? Hizi spidi za kijinga za Mwendokasi kwa nia ya kumfia mtu sasa zinapumbaza akili na kuzalisha upumbavu. Hebu Wadanganyika tutoke kwenye limbwi hili haraka.
 
Hakuna jambo zuri lolote lilifanywa na huyu fisadi, muongo na mkingia kifua mafisadi wenzie. Anajua uchafu wake mbali mbali ndiyo sababu anaogopa kuwagusa akina Lugumi kwa sababu naye alikatiwa Bulungutu la ufisadi wa Lugumi na pia kuwaogopa akina IPTL na wezi wa pesa za Escrow. Hajafanya lolote lile la maana zaidi ya kelele zisizokwisha na vitisho kila kukicha. Juzi tu anadai anatamani malaika washuke ili wafunge mitandao nchini. Kipi kinachomuogopesha kwenye mitandao hadi atamani kuifunga kama sikutaka kuficha maovu yake!?

WATANZANIA SIO VIPOFU WALA WAJINGA. WATANZANIA NI WASTAARABU. USIUCHUKUWE USTAARABU WAO UKAFKRI NI VIPOFU. KWA UCHAFU ULIOKUWA UKIFANYIKA HAPA TANZANIA, HATA KIPOFU NA KIZIWI ALIKUWA AKIONA. TOFAUTI TUNAIONA SASA, NI KIPOFU ALIYEPOTEZA MACHO YAKE KWA UFISADI NDIYE ATASHINDWA KUONA MAMBO MAZURI ANAYOYAFANYA RAIS MAGUFULI. VIONGOZI WAWILI WAMEFUNGUA ACCOUNT KUWAIBIA WALIOPATA MAAFA, SASA WAMO NDANI WAMESHITAKIWA. UFISADI WA RADA, UFISADI TEGETA ESCROW, UFISADI EPA, WATU BADO WANAFAIDI PESA ZA MASIKINI. KAMA UONGOZI WA AWALI UNGEKUWA KAMA WA RAIS MAGUFULI THUBUTU WEZI WENGEFIKIRIA MALA MBILI KABLA YA KUIBA, NA NCHI ISINGEKUWA NA MADENI YA KIPUUZI KAMA TULIYONAYO LEO. LAKINI KUIBA ILIKUWA NI SIFA, USIPOKUWA MWIZI WEWE NI KIPOFU NA MJINGA. WATANZANIA WAPENDA HAKI TUKO NYUMBA YA RAIS MAGUFULI MPENDA HAKI, MAFISADI LIENI TU. FANYENI KAZI HAKUNA DEAL TENA MTASEMA MUTACHOKA, MTAMUITA MAJINA MUTACHOKA, KWA SASA YEYE NDIYE RAIS NA WENGI TUNAMPENDA.
 
Nimejifunza kitu hapa! Huhitaji kuzunguka dunia nzima watu wajue kwamba unafanya kazi unaweza kukaa nchini kwako ukaoiga kazi na ikaonekana dunia nzima! Kwa kweli kama kuna raisi amenifanya nikatoe sadaka ya shukrani no huyu JPM dhamira yake na vitendo vinashabihiana hivyo siangalii sana atakosea wapi! Wengi wetu waliopita samahani! Anachosema na anachofanya ni maji na mafuta havina ushirikiano! Big up magu unatuletea heshima hata huku ughaibuni tuliko!
Dhamira ya kutamka hadharani kuwa nitawalinda?!Umewahi jiuliza atawalinda kwa lipi?Huoni kuwa kuna baadhi ya watu kwake ni muhimu kuliko hata nchi yake?Acheni kujitia upofu nyie watu.
 
hakuna wakati ambao viongozi wa juu watapiga pesa kama kipindi hiki. any way hivi sifa za kiongozi bora ni zipi?
 
Huna taarifa za kutosha kuthibitisha kauli yako.
Ni vigumu kumdhania mtu ambaye ameshaonyesha nia yake..
Unaweza pia ukawa upo sahihi koz no one knows Someone's secret..

Ila kwa hiki kidogo anachokifanya na kinaonekana hatuna budi kumpongeza na kumsifia..[emoji122] [emoji122]
HAKUNA na HAJAWAHI kutokea kama MAGUFULI huyu ni RAIS wa WANYONGE..........
haa haa hayo mahaba..lakini hakuna cha maana hapo. kweli ni rais wa wanyonge ndo maana kawanunulia ndege....
 
yani kwa hili alionyehsa rangi yake halisi self alikuwa kiongozi wa umma ni kama lowassa hata umuchukie vipi bado anatakiwa apate stahiki zake kama katiba inavyosema
Hebu vuta picha mbele ya hadhara ya watu rais anakupa mkono we unauchuna.HAKUNA UPINZANI WA CHUKI.HIVYO KUKUFANYA UVUNE UPANDACHO.
 
Back
Top Bottom