Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,139
- 6,050
Honestly paschal unatupa picha ya aina ya wasomi tulionao nchi hii, its hard to believe unashinda kwenye key board kumsifia magufuli na serikali kali siku iendayo kwa Mungu! This is not out of patriotism, una greed kubwa sana ndani ya maandishi yako, ur too emotional logic umetupa chooni kabsa.
Hivi dogo ngewa hapa Pascal Mayalla logic kaitupa wapi? Kama umesoma hii article yake na kuelewa nafikiri utaona katumia logic ya karne ya 22 maana kaelezea kinaga ubaga bila hata kutia chenga, pia kaeleweka. Tatizo la watanzania waliokatwa mirija hawapendi kabisa kusikia habari nzuri za Magufuli, hapo ndugu yetu Pascal katoa wazo tu watu wanataka kujiua kwa hasira.