Rais Magufuli: Natamani Malaika ashuke na aifungie mitandao ya kijamii

Ni upumbavu, uhuni na ushamba kufungia mitandao ya kijamii ili unajinasibu umepita kwa 99% pamoja na kuzoa viti vyote vya ubunge na udiwani.
 
Msisahau Ule Mtandao Wa Kenya Una Sub Forums
Ambayo Unaikuta Jamiiforums.com
Anzeni Kuchukua Tahadhali Ukiona Jamiiforums.com Kimya Wahi Hapa
www.JamiiForums.com.com. Hapo Utaipata JF Ya Moto
 
Jamani sie wengine makosa yetu ni yapi?

Mbona hatupo kokote kwenye siasa na kwingineko lakini tunafanyiwa haya siku ya tatu leo hakuna Twitter, Facebook, WhatsApp, Telegram wala YouTube.

Tumewakosea nini?
kwani imewashwa
 
Jamani sie wengine makosa yetu ni yapi?

Mbona hatupo kokote kwenye siasa na kwingineko lakini tunafanyiwa haya siku ya tatu leo hakuna Twitter, Facebook, WhatsApp, Telegram wala YouTube.

Tumewakosea nini?
Inasikitisha sana aisee sijui tumewakosea nin kwakweli, nasikia kuna mitano mingine ya shukrani kwa jiwe
 
Rafiki hao huwa hawapangiwi. Ukijaribu kuwapangia ndio utaharibu kabisa. Waliamua kuzima wao na kama kuwasha wataamua wao tena kwa muda wanaoutaka wao. Nasikia nchi hii kuna wananchi na wenye nchi. Hebu nijaribu kufungua Whatapp nione.
Wananchi na wenyenchi
 
wacheni ujinga nyie washeni mtandao watu watumie bando lao hamuoni hasara kubwa kwa watu wa mitandao na taifa linakosa kodi jmn mweee
Jamani CHADEMA zimeni simu tujenge nchi internet ina haribu utamaduni wetu na haina faida kwa sasa
 
Back
Top Bottom