Rais Magufuli: Natamani Malaika ashuke na aifungie mitandao ya kijamii

Rais wa Maisha Jiwe anayekwenda kufuta mfumo wa Vyama vingi, alisema anatamani malaika ashuke afute mitandao ya kijamii.

Nyie mmezimiwa internet sio mitandao ya kijamii.

Jiwe
Utaambiwa mbona kuna wa CUF huko Mtwara kashinda,hao wengine wameshindwa kwa uzembe wao wenyewe.Hii ndio Tz.
 
Rafiki hao huwa hawapangiwi.Ukijaribu kuwapangia ndio utaharibu kabisaaaa.Waliamua kuzima wao na kama kuwasha wataamua wao tena kwa muda wanaoutaka wao.Nasikia nchi hii kuna wananchi na wenye nchi.Hebu nijaribu kufungua Whatapp nione.
Ila kuna siku kutakuwa na usawa tu mungu atusaidie tu.
 
Nawaonea huruma wapinzani maana kwenye TV marufuku kwenye magazeti marufuku sasa wakaona wawafuate huku kwenye internet na bahati mbaya sote tumekuwa wahanga.

Haya mambo tulikuwa tunasikia kwa wenzetu tunaona kama uongo ila yumeyaona siku 3 unawazimia watu, wengine hata hawako katika siasa ndio biashara zao wanafanyia katika mitandao unawafungia, ni aibu kubwa sana mimi nakubaliwa 85% kweli nifunge sababu ya 15%? nitatembea kifua mbele hata ulinzi nitapunguza maana najuwa nakubalika 85% haya ni mapenzi makubwa sana walikuwa wanapata kina Saddam tu.

Mitume wetu tu watakatifu lakini mpaka wakafukuzwa katika miji yao leo wewe unapendwa na 85% na nchi nzima halafu unawazimia watu biashara zao. jana balozi wa USA kasema mbona uwoga huu hauendani na ushindi mkubwa unaodaiwa.
 
Back
Top Bottom