Kasema ripoti iko tayari kuna wafanyakazi zaidi ya 9,000 waliofoji vyeti, kasema ikitoka hatakuwa na msalia mtume kwa yeyote, ujumbe huu umempata vilivyo Bashite huko aliko.
Kwa observation yangu naona kama rais kapunguza kumtaja taja kipenzi chake, kwa mfano leo hakumtaja kabisa wala kuongelea utendaji kazi wake tofauti na hotuba zake zilizopita.