comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Wana jamvi
Nimewaza kwa kina kwamba taarifa ya vyeti feki itakua muhimu sana katika hotuba Mh Rais atakapokabidhiwa kesho tarehe 28.4.2017, huenda Rais akaitumia ripoti hiyo kama moja ya vielelezo katika hotuba siku ya kilele cha sikukuu ya wafanyakazi duniani siku ya tarehe 01.05.2017, aidha, baada ya kufanikiwa kwa zoezi hilo huenda Mh Rais akatangaza mabadiliko kadhaa hususani maboresho ya watumishi wa umma kama vile ongezeko la mishahara, uhamisho, na kupanda madaraja kwa watumishi mbalimbali. Haya kazi kwenu nimewaza tu.