Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Bado natafakari na nashindwa kupata majibu ya ujenzi wa daraja kwa mujibu wa Hotuba yako ya jana litakalo pita baharini likitokea Coco beach mpka Hospitali ya Aga Khan, najaribu kukokotoa mahesabu yanakataa kabisa, na mimi sijisifu lkn niko vizuri kiasi fulani na namba lkn kwa hili bado nashindwa kupata jibu embu ngoja nililalie labda kesho asubuhi nitapata jawabu lkn mpaka sasa hivi nimeshindwa!
Hili daraja ni la nini?