Sikudhani kuwa msemaji ukweli waweza kuwa na akili za kiwango cha chini kiasi hicho. Wewe unadhani ajapo mgeni Tanzania huwa ni mgeni wa mkulu binafsi au nchi? Bill Gates kaja Tanzania sio kwa sababu Magu ni Rais bali kafuatilia miradi ya foundation yake na ilianza siku nyingi kabla hata huyo mtu wako hajawa na ndoto ya kuwa siku moja watu watakosea na kumpa heshima hiyo.
Hao wengine ni program za kazi zinazowaleta bila kujali ni nani yupo hapo, hata Amin alikuwa anapokea wageni ofisini kwake waliokuwa wanaenda kwa program za kikazi.
Maelezo yako labda ungesema safari kama ile ya Raila kule kwake na kulala siku tatu ndiyo hayo maswali ungeuliza. Pale katembelewa yeye binafsi na sio nchi, Leo hii hata yeye angekuwa yuko Likizo huko kwao bado Bill Gates angeonana na Mama Samia.
Acha kupotosha watu kwa ushabiki maandazi
Halafu huyo ndio kichwa hapo Lumumba! Lakini bado anadhani ofisi ya Rais ni ya sizonje na kwamba kila aendae pale basi ana huba na sizonje. Anaona ile ni ofisi binafsi na sio ya umma.
Fikra finyu kama zake mkulu mwenyewe anayesema "kama hunipi mkono na mie sisaini pension yako" akiona kuwa anaposaini kitu ni kama vile ni mali yake ya urithi na sio kazi yake ambayo ndiyo analipwa kwa kuifanya.
Ni hasara sana kuwa na watu wenye fikra za kiwango hiki kwa dunia hii ya sasa.
msemaji ukweli, kwa kweli wewe ni akili ndogo halafu kwa akili yako ndogo unaanzisha mada ambayo lengo lake hata majinga ya Lumumba yanatilia shaka. Kwa akili hizi si ajabu kesho tukasikia umeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa nawe ulete misaada ya miguu bandia baada ya polisi wetu kuwavunja miguu wanaodai uhuru wa mawazo. Kwa wenye akili kubwa zaidi yako hii mada imezidi tu kukuanika ulivyo mtupu kichwani...wahi basi Lumumba upate malipo yako.
Kwa hali ilivyo nchini inakuwaje unapata hawa wageni ambao wengine wana madaraka kimataifa huku wengine wakiwa ni matajiri wakubwa duniani.
Sisi ‘’tunataka/tunapenda’’ Tanzania iwe ‘’the skunk of the world’’ halafu wewe unatujibu kwa kupokea kwa siku moja hapo Ikulu ugeni wa watu watatu ambao ni mover and shaker;
1) Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC.
2) Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson
3) Tajiri namba moja duniani, Bill Gates.
Hivi hawa wageni wako hawajui kuwa Tanzania hakuna ‘’Freedom of Speech’’?
Hivi hawa wageni hawajui kama wewe ni ‘’Dikteta Uchwara’’?
Hivi hawa wageni hawajui kuwa ACACIA imezuiwa kusafirisha ‘’mchanga wake’’ wenye makanikia nje ya nchi na kwa misingi hiyo ''umevunja sheria'' za biashara kitaifa na kimataifa? Kwa nini wanakuja kuwekeza pesa zao kwenye utawala ambao hauheshimi Katiba na Sheria?
Ina maana sisi ''tunaopiga kelele'' hawatusikii au wanasikia na kutuona wajinga?
Kwa nini mnatufanyia ‘’vituko’’ vya aina hii?
Rais Magufuli acha Usanii wa kisiasa!
Hata wananchi wa Tanga walipovamia gari yako ili usimame ''tulisema'' ni usanii!
VIDEO: Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.
VIDEO: Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.
VIDEO: Bill Gates alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.
Japo najua yote uliyoyaandika ila nimeshindwa kuelewa unataka mini yani.
Unataka asiwapokee wakija?
Unataka wamsusie?
Wageni hawa wamekuja kuomba "misaada"?Kwa hali ilivyo nchini inakuwaje unapata hawa wageni ambao wengine wana madaraka kimataifa huku wengine wakiwa ni matajiri wakubwa duniani.
Sisi ‘’tunataka/tunapenda’’ Tanzania iwe ‘’the skunk of the world’’ halafu wewe unatujibu kwa kupokea kwa siku moja hapo Ikulu ugeni wa watu watatu ambao ni mover and shaker;
1) Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC.
2) Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson
3) Tajiri namba moja duniani, Bill Gates.
Hivi hawa wageni wako hawajui kuwa Tanzania hakuna ‘’Freedom of Speech’’?
Hivi hawa wageni hawajui kama wewe ni ‘’Dikteta Uchwara’’?
Hivi hawa wageni hawajui kuwa ACACIA imezuiwa kusafirisha ‘’mchanga wake’’ wenye makanikia nje ya nchi na kwa misingi hiyo ''umevunja sheria'' za biashara kitaifa na kimataifa? Kwa nini wanakuja kuwekeza pesa zao kwenye utawala ambao hauheshimi Katiba na Sheria?
Ina maana sisi ''tunaopiga kelele'' hawatusikii au wanasikia na kutuona wajinga?
Kwa nini mnatufanyia ‘’vituko’’ vya aina hii?
Rais Magufuli acha Usanii wa kisiasa!
...
Ungesoma kwa kutulia ungemuelewa alichomaanishaIngawa umeshindwa kuvumilia na kuandika upupwu ni umeonyesha unapenda ambayonyanaendelea kwa wageninhao kuvutiwa kwenye Ikulu. Siju nyingine shangikia tu lori.. yaani umefanya vizuri kutangaza habarinnjema kupitia uzi huu.. hayo mengine eti wawasikie eeeeh ukiwa kama nani au unataka waombe kibali wawapeleke milembe kwa kutowaelewa wananchi mnaochukia kuona mliyoyolikia yatendwe miaka nenda miaka rudi... karibu kumshangilia JPM akiendesha lori.. maneno yako basi tu usisemwr humu na wenzako kwa kuwa mnafiki... moyoni unajijua kuwa wewe ni mpenzi wa JPM na chama chake unatamani usingekimbilia ulipo labda now ungekuwa mbaki kama ungekuwa na sifa ambazo inaonyesha kuwa kigeugeu huku na kurukia huko ni hauna.. hongera kea kuoenda habari zake na mnaongoza kwa kumsikiliza kupita wenyewe eeeh
Magufuli oyeeeeee
Lowasa si bado yupo?Tuanze kuandaa viongozi wa Taifa miaka ijayo!! Tusifanye makosa kama haya tena!!!
Kwa hali ilivyo nchini inakuwaje unapata hawa wageni ambao wengine wana madaraka kimataifa huku wengine wakiwa ni matajiri wakubwa duniani.
Sisi ‘’tunataka/tunapenda’’ Tanzania iwe ‘’the skunk of the world’’ halafu wewe unatujibu kwa kupokea kwa siku moja hapo Ikulu ugeni wa watu watatu ambao ni mover and shaker;
1) Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC.
2) Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson
3) Tajiri namba moja duniani, Bill Gates.
Hivi hawa wageni wako hawajui kuwa Tanzania hakuna ‘’Freedom of Speech’’?
Hivi hawa wageni hawajui kama wewe ni ‘’Dikteta Uchwara’’?
Hivi hawa wageni hawajui kuwa ACACIA imezuiwa kusafirisha ‘’mchanga wake’’ wenye makanikia nje ya nchi na kwa misingi hiyo ''umevunja sheria'' za biashara kitaifa na kimataifa? Kwa nini wanakuja kuwekeza pesa zao kwenye utawala ambao hauheshimi Katiba na Sheria?
Ina maana sisi ''tunaopiga kelele'' hawatusikii au wanasikia na kutuona wajinga?
Kwa nini mnatufanyia ‘’vituko’’ vya aina hii?
Rais Magufuli acha Usanii wa kisiasa!
Hata wananchi wa Tanga walipovamia gari yako ili usimame ''tulisema'' ni usanii!
VIDEO: Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.
VIDEO: Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.
VIDEO: Bill Gates alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.
Kwa hali ilivyo nchini inakuwaje unapata hawa wageni ambao wengine wana madaraka kimataifa huku wengine wakiwa ni matajiri wakubwa duniani.
Sisi ‘’tunataka/tunapenda’’ Tanzania iwe ‘’the skunk of the world’’ halafu wewe unatujibu kwa kupokea kwa siku moja hapo Ikulu ugeni wa watu watatu ambao ni mover and shaker hapa duniani;
1) Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC.
2) Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson
3) Tajiri namba moja duniani, Bill Gates.
Hivi hawa wageni wako hawajui kuwa Tanzania hakuna ‘’Freedom of Speech’’?
Hivi hawa wageni hawajui kama wewe ni ‘’Dikteta Uchwara’’?
Hivi hawa wageni hawajui kuwa ACACIA imezuiwa kusafirisha ‘’mchanga wake’’ wenye makanikia nje ya nchi na kwa misingi hiyo ''umevunja sheria'' za biashara kitaifa na kimataifa? Kwa nini wanakuja kuwekeza pesa zao kwenye utawala ambao hauheshimi Katiba na Sheria?
Ina maana sisi ''tunaopiga kelele'' hawatusikii au wanasikia na kutuona wajinga?
Kwa nini mnatufanyia ‘’vituko’’ vya aina hii?
Rais Magufuli acha Usanii wa kisiasa!
Hata wananchi wa Tanga walipovamia gari yako ili usimame ''tulisema'' ni usanii!
VIDEO: Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.
VIDEO: Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.
VIDEO: Bill Gates alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.
Sasa waliokuwa wanasema asusiwe hawakuyajua haya uliyoyaandika!? wao huwa hawasikilizi propaganda za kizushi kikubwa wanataka fedha zao zisigeuzwe shamba La bibi...Kama walikuwa wanawekeza kwa Ghaddafi itakuwa Tanzania? Yaani mabepari (China ikiwemo) wao siku zote wanachojali ni maslahi yao. Hao wanaokuja kwwetu leo si wameshawahi kuwekeza kwa Makaburu wakati sisi tunawapinga. Au program za Microsoft hazipo Iran na Palestina?
Hayo mambo ya kugandamizana wanayapigia kelele tu lakini kama nchi yenu haina hathari kwao hawana habari hata mchinjane usiku na mchana!