Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,009
- 74,643
Amejitoa ufahamu,yaani ameona hilo ni jambo kubwa na la ajabu!!
Halafu huyo ndio kichwa hapo Lumumba! Lakini bado anadhani ofisi ya Rais ni ya sizonje na kwamba kila aendae pale basi ana huba na sizonje. Anaona ile ni ofisi binafsi na sio ya umma.
Fikra finyu kama zake mkulu mwenyewe anayesema "kama hunipi mkono na mie sisaini pension yako" akiona kuwa anaposaini kitu ni kama vile ni mali yake ya urithi na sio kazi yake ambayo ndiyo analipwa kwa kuifanya.
Ni hasara sana kuwa na watu wenye fikra za kiwango hiki kwa dunia hii ya sasa.