Rais Magufuli na wageni mashuhuri duniani

Kwa hali ilivyo nchini inakuwaje unapata hawa wageni ambao wengine wana madaraka kimataifa huku wengine wakiwa ni matajiri wakubwa duniani.

Sisi ‘’tunataka/tunapenda’’ Tanzania iwe ‘’the skunk of the world’’ halafu wewe unatujibu kwa kupokea kwa siku moja hapo Ikulu ugeni wa watu watatu ambao ni mover and shaker;
1) Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC.

2) Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson

3) Tajiri namba moja duniani, Bill Gates.

Hivi hawa wageni wako hawajui kuwa Tanzania hakuna ‘’Freedom of Speech’’?

Hivi hawa wageni hawajui kama wewe ni ‘’Dikteta Uchwara’’?

Hivi hawa wageni hawajui kuwa ACACIA imezuiwa kusafirisha ‘’mchanga wake’’ wenye makanikia nje ya nchi na kwa misingi hiyo ''umevunja sheria'' za biashara kitaifa na kimataifa? Kwa nini wanakuja kuwekeza pesa zao kwenye utawala ambao hauheshimi Katiba na Sheria?

Ina maana sisi ''tunaopiga kelele'' hawatusikii au wanasikia na kutuona wajinga?

Kwa nini mnatufanyia ‘’vituko’’ vya aina hii?

Rais Magufuli acha Usanii wa kisiasa!

Hata wananchi wa Tanga walipovamia gari yako ili usimame ''tulisema'' ni usanii!

VIDEO: Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.

VIDEO: Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.

VIDEO: Bill Gates alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.

Kaka wazungu wako ki maslahi zaidi,hata kama watanzania watauana au watakufa njaa mpaka wamalizike wote, wao hawajali kama wanapata maslahi yao,kumbuka huko America,South Amerika na visiwa vya Caribiean kuna makabila hayapo tena duniani,wazungu wamewaua na kuwamaliza wote waliwasaka kama wanyama....

"Divide and Rule" hayo uliyoyasema wazungu wanayajua na kuyafahamu lakini kila tukitengana ni bora kwao wao,tafakari
 
Sisi tunaendelea kushangilia kenyatta alivyomdhulumu mpinzani mwenzetu,wala hatujali yanayoendelea ikulu!
 
ulivyoiweka hii thread....kila bavicha kaona uko upande wao, kumbe umewananga

hii ndo JF bana
 
Mmh..... Sijui kama huu uzi utadumu......

Kwa kuwa Mkulu hayuko tayari kukosolewa, bali anatakaga siku zote aimbiwe "mapambio" ya kusifiwa tu......

[HASHTAG]#hatunyamazi[/HASHTAG]

muanzisha thread kakukamata mkuu!!
 
Kwa hali ilivyo nchini inakuwaje unapata hawa wageni ambao wengine wana madaraka kimataifa huku wengine wakiwa ni matajiri wakubwa duniani.

Sisi ‘’tunataka/tunapenda’’ Tanzania iwe ‘’the skunk of the world’’ halafu wewe unatujibu kwa kupokea kwa siku moja hapo Ikulu ugeni wa watu watatu ambao ni mover and shaker;
1) Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC.

2) Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson

3) Tajiri namba moja duniani, Bill Gates.

Hivi hawa wageni wako hawajui kuwa Tanzania hakuna ‘’Freedom of Speech’’?

Hivi hawa wageni hawajui kama wewe ni ‘’Dikteta Uchwara’’?

Hivi hawa wageni hawajui kuwa ACACIA imezuiwa kusafirisha ‘’mchanga wake’’ wenye makanikia nje ya nchi na kwa misingi hiyo ''umevunja sheria'' za biashara kitaifa na kimataifa? Kwa nini wanakuja kuwekeza pesa zao kwenye utawala ambao hauheshimi Katiba na Sheria?

Ina maana sisi ''tunaopiga kelele'' hawatusikii au wanasikia na kutuona wajinga?

Kwa nini mnatufanyia ‘’vituko’’ vya aina hii?

Rais Magufuli acha Usanii wa kisiasa!

Hata wananchi wa Tanga walipovamia gari yako ili usimame ''tulisema'' ni usanii!

VIDEO: Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.

VIDEO: Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.

VIDEO: Bill Gates alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.

Mkuu hujaona kuwa mataifa makubwa wameisusia TZ kila anaye kuja anaacha mkwacha kwa hasira huku akivuta mdomo.
Kama nawaona "wakituzomea"
 
Mkuu msemajiukweli nimeelewa sana bandiko lako. Hili bandiko umeliweka kama sehemu ya kuwananga wapinzani haswa Tundu Lissu kwamba ni majibu tosha yale anayotaka toka kwa wazungu yote wameyapuuza, na sasa wanamuamini Magufuli na serekali yake. Una haki ya kuleta bandiko hili kwani linakupa faraja na ni haki yako ya kidemokrasia kutoa maoni yako. Tuje kwenye uhalisia, je unaamini mahali wanapokwenda wazungu hiyo ni ishara kwamba nchi hiyo kuna demokrasia? Leo hii wazungu wanaongoza kwa kusema Mugabe, Nkurunzinza nk hawafuati demokrasia katika nchi zao, je wazungu hawaendi kwenye ikulu za nchi hizo? Je umesikia chochote walichozungumza hao wazungu waliongia humo Ikulu? Una uhakika gani kwamba hawakuzungumza chochote kuhusu mwenendo wa demokrasia nchini?

Anyway, tuchukulie kila mzungu akija hapa nchini ni majibu tosha kwamba wapinzani kelele wanazopiga hazina maana. Tuje kwenye ukweli maana ukweli tunaujua sisi bila kujali hicho kipimo cha wazungu unachokitumia. Je uchaguzi wa Znz ulikuwa sahihi hasa wa marudio? Je anachokifanya Magufuli dhidi ya washindani wake wa kisiasa ni sahihi? Je umesahau kwamba awamu iliyopita tulishuhudia ujio wa Marais wakubwa wa Marekani George Bush na Barrick Obama, je ujio wao nchini uliondoa ukweli kwamba fedha nyingi za misaada iliyotoka kwao ilikuwa inatumika vibaya? Je ujio wa hao wazungu unaondoa ukweli nchi hii ilikuwa imejaa majizi wa raslimali za umma kwa mujibu wa Magufuli? Leo hii korea kaskazini ni adui mkubwa wa US na hata kufikia mahali pa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi, je wazungu hawaendi huko N. Korea?
 
Japo najua yote uliyoyaandika ila nimeshindwa kuelewa unataka mini yani.
Unataka asiwapokee wakija?
Unataka wamsusie?
Hapana jamaa kawabeza watu fulani fulani waliopaza sauti tutengwe na jumuia za kimataifa lakini jamaa wameweka pamba masikioni na wanazidi kumiminika ikulu mwanzo mwisho. Kila la kheri mheshimiwa rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pambana na hali yako mbona uko ovyo ovyo hivyo...unasema huna freedom of speech wakati unamwita dikiteta uchwara humu ndani na hakuna anayekukamata...acha ujinga...wageni wanakukera nini? au ndio umemezeshwa.....magufuli amewakatama pabaya ona mnavyobwatuka....utahira huo!!!
 
Kwa hali ilivyo nchini inakuwaje unapata hawa wageni ambao wengine wana madaraka kimataifa huku wengine wakiwa ni matajiri wakubwa duniani.

Sisi ‘’tunataka/tunapenda’’ Tanzania iwe ‘’the skunk of the world’’ halafu wewe unatujibu kwa kupokea kwa siku moja hapo Ikulu ugeni wa watu watatu ambao ni mover and shaker;
1) Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC.

2) Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson

3) Tajiri namba moja duniani, Bill Gates.

Hivi hawa wageni wako hawajui kuwa Tanzania hakuna ‘’Freedom of Speech’’?

Hivi hawa wageni hawajui kama wewe ni ‘’Dikteta Uchwara’’?

Hivi hawa wageni hawajui kuwa ACACIA imezuiwa kusafirisha ‘’mchanga wake’’ wenye makanikia nje ya nchi na kwa misingi hiyo ''umevunja sheria'' za biashara kitaifa na kimataifa? Kwa nini wanakuja kuwekeza pesa zao kwenye utawala ambao hauheshimi Katiba na Sheria?

Ina maana sisi ''tunaopiga kelele'' hawatusikii au wanasikia na kutuona wajinga?

Kwa nini mnatufanyia ‘’vituko’’ vya aina hii?

Rais Magufuli acha Usanii wa kisiasa!

Hata wananchi wa Tanga walipovamia gari yako ili usimame ''tulisema'' ni usanii!

VIDEO: Katibu Mkuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola, Rt Hon Patricia Scotland QC alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.

VIDEO: Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Inmi Patterson alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.

VIDEO: Bill Gates alipokutana na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam.

Hawa wanaokuja wanajua Rais Magufuli ni kiongozi wa aina gani. Hapa Tanzania hakuna chama makini cha upinzani ambaye kiongozi wake anaweza kuonana na hawa watu mashuhuri mtapiga kelele but Mheshimiwa Magufuli will remain powerful and very popular.
 
Back
Top Bottom