Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Ha ha ah..Kwani alikuwa anateua viongozi wa dini???
Ha ha ah..Kwani alikuwa anateua viongozi wa dini???
Umeusoma wote?Mjihabari mrefu..upuuzi mtupu!
Waambie waandamane kwenda IkuluWaislam amkeni sasa mtake balance of power achane kulalamika hovyo.
Hakuna anayeishi kwa udini ni kuwafahamu tu viongozi wetu"karne ya ishirini na moja mnazungumza udini??"-JKN
Ndefu sana
Wakati wa Mkwere ilikuwa ni wafuasi wa dini ya kitimoto ndio walikuwa wapiga kelele kwa kila uteuzi alioufanya Mkwere. Cha kushangaza wale wa kitimoto hawasikiki tena wakilalamikia teuzi za Magu. wanaosikika ni wale wanaopigia kelele za usiginaji wa demokrasia unaofanywa na siri-kali ya Magu.Kipindi cha Mkwere walitulia, sasa wanaanza kufumuka mashimoni. Huyu aliyeanza ni Kidagaa kuna Sangara na Papa wataibuka.
Hii inaingiliaje utendaji wake wa kazi, haya si maisha yake binafsi?ni muislam ila anayeishi naye si muislam,
achana naye huyoWhat??
ukishaifahamu dini yake ili iweje sasa??hukuwepo siku anaapishwa alikuwa ameshika kitabu gani??hivyo ni vitu personal havikusaidii wala havinisadii ni ulimbukeni tu kutafuta vitu kama hivyoHakuna anayeishi kwa udini ni kuwafahamu tu viongozi wetu