Rais Magufuli na mfumo Kristo

Rais Magufuli na mfumo Kristo

Status
Not open for further replies.
Mode usiruhusu ujinga kama huu kuandikwa hapa,watu wa aina hii hawana jipya,ni wavivu,wachochezi,waongo,wazandiki na fikra zao ni potofu kama wanawaza udini waende nchi za uarabuni.
 
Njoja ntaipitia baada ya iftar muswada huu wa malalamiko.
 
Ndugu zangu Waislamu,ni lini mtaacha ulalamishi?kote duniani ulalamishi hsukuleta suluhu bali uhasama.tuache rais afanye kazi yake nasi bila kujali dini zetu popote tulipo tuonyeshe bidii ilisasa hata ikifika wakati rais akawa mwislamu na akawa na wateule wengi wa upandemmoja tuhoji.kikwete hakubalansi mkapa pia mwinyi pia ht nyerre nae alifanya hivyo pia.
Halafu Mbona zanzibar hakunaga viongozi wakristo na hatulalamiki?
 
Asante kwa kuliona hili,sasa naomba utuwekee hapa uwiano
wa waislam na wakristo katika serikali ya mapinduzi Zanzibar.

Kwa kuwa serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni
muungano wa Tanzania bara na visiwani,binafsi nadhani
rais Magufuli amefanya hesabu ya jumla ya viongozi wote
wa Zanzibar na Tanzania bara akaamua kutafuta uwiano
kwa kufidia namba ya kule Zanzibar ambako hakuna wakristo.
Maana nijuavyo mimi zanzibar hakuna waziri wala mbunge mkristo
hivi ni kweli zanzibar hakuna wakristo?

Ikumbukwe kuwa mambo ya kiuongozi
katika taifa letu la Tanzania yanatakiwa kuongozwa
na katiba ambayo kimsingi inatakiwa iwatendee haki watu
wote wenye dini na wasio na dini
Nakumbuka mtoa mada, wakati tunajadili katiba mpya
ulikuwa bado hujaijua haki,hivyo uliitetea katiba iliyombioni kupitishwa
kuwa katiba ya taifa hili. Nadhani laiti kama wote
tungepigania kupata katiba ya wananchi,mambo ya kutawaliwa
na mkristo au muislam yasingekuwa na nguvu kwani
kiongozi angeongoza nchi kwa kufuata matakwa ya katiba na wala si dini yake.

Tupiganie kupata katiba bora
mambo ya kuongozwa na wenye dini wenzetu
yataishia kutuvuruga.Kama nakudanganya
angalia list ya waliotolewa majipu,wapo wakristo wapo dini nyinginezo
shetani hana dini yeye anamkumba kila aliye tayari kumtumikia.

Tuunganishe nguvu tupate katiba ya wananchi PERIOD!
Hayo mambo mengine ya dini yangu,dini yangu
yatatuletea aibu bure.
 
Ukiona mtu anaanza kuzungumzia udini usibishane naye ujue tu huyo amefilisika kimawazo wala usipate shida ya kubishana naye.Biblia yetu kuna mstari usemao "Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Mithali 23:7

Ukiona mtu anaongea udini au kila anapoongea ni matusi ujue hicho ndicho kilichojaa ndani yake. Kumsadia ni mpaka apone kule.ndani na aone tofauti na anavyoona sasa. Wakati wewe unaona uteuzi mzuri wengine wanaona udini maana ndio ukiowajaa ndani
 
Ingekuwa Ukatoliki ndio kigezo Kasim Majaliwa MWISLAMU asingekuwa waziri mkuu wala Samia Suluhu ambaye ni mwislamu asingekuwa makamu wa Raisi.

Hapa kazi tu haiangaliwi dini ya mtu
Kassim Majaliwa sio Muislam
 
Tumeipenda wenyewe, wacha waisome number eheeee ccm mbele kwa mbele
 
Sifa kuu zinazoangaliwa kwenye uteuzi ni uwezo wa mtu kwenye majukumu husika si ukubwa wa Sigda usoni, sura,dini,jinsia wala udogo au ukubwa wa makalio ya mtu.
YEHODAYA
Umefuta ule ushauri wako wa kumtaka Magu P. kuleta timu ya utawala kutoka Rwanda?
Ulituaminisha kwamba hakuna watu wenye uwezo hapa Nchi ya majipu, ufisadi, kubebana na kulindana.
 
Ngoja nikajikumbushe ule uzi wa Dr. Ramadhan Dau niwabaini wanafiki
 
ila kwa Wakuu wa Wilaya naona angalau Kilio cha Waislamu kimesikika, Tofauti na Teuzi za Mawaziri, Maktibu wakuu na Wakuu wa Mikoa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom