Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Wacheni tuchambue teuzi za mh.rais mbona wakati wa JK mlifanya hivyo na malalamiko yalikuwa hayapungui hapa JF?
Tena sheitwaniFisadi mkubwa alioitia nchi hii umaskini awamu iliopita ni Muislamu tena anapenda dini sana. Kaulize bandarini/TRA watakwambia.
umeogea pumbba tupuAfadhali mfumo Kristo kuliko mfumo unaoutaka maana tungelazimishwa kuvaa kanzu. Huu ni mfumo wa dunia sio Tanzania tu. Tangu Mwl Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete ni mfumo Kristo mnalalamika kwani Mwinyi na Kikwete ni Wakristo?
Hapo sijaongea nimeandikaumeogea pumbba tupu
Mfumo Islam hikuu ona enzi za jk serikali iliyoongozwa na jkhebu tuambie hao wakristo walioteuliwa wana uwezo gan? Hakuna kitu hapo ni mfumo kristo tu unaendelezwa
Napeleka ushahidi TCRA kwa kumtukana Amiri jeshi mkuu...Kafiri
umeandika pumba tupu au umeshakula kitimoto?Hapo sijaongea nimeandika
kijanja umelalamika ha ha ha vipi kuhusu yule Mkuu wa wilaya wa ilemelambona wachaga pamoja na kupotezwa kila uteuzi hatulalamiki?
Elim Elim ElimKafiri
Naona unakiri kuwa waislam wamesahaulika kwenye utawala huu.hata hivyo hakuna shida kwa sababu haya yanapita ya Dunia tu ndugu yangu.wasiwasi wangu ni kwa wale wanaokumbuka utawala wa JK.Haya majamaaa kama mabwege,mmebebwa miaka kumi yote tumenyamaza,,sasa hvi mmesahaulika kwenye teuzi mbili tatu mnasema mnaonewa,,,,sijui ni watu wa namna nyie
Una uhakika hawana sifa? Na wote wanakuwa wakristo? Hakuna wasio Na dini Kati yao?ni wakristo wasiokuwa na sifa kujazana kwenye maofisi kipendeleo
Mi sijasomaembu fupisha kwanza habari hii afu uje tena coz hata hueleweki unachotaka ni nn zaid
Udini ni sababu ya machafuko sehemu yoyote. Serikali haina dini. N cdhan km inaangaliwa dini au CV kny uteuzi. Udini sio mzuri dini tumeletewa 2. Hakuna aliyefika huko n kugundua kua dini flan ndo iko sawa. Magu anaangalia CV hlf ubaya ndugu ze2 wasomi wachache uwongo dhambi. Ndo mjiulze wats wrong. Msimu wa kubebana hakuna ni CV 2. Japo cmkubal baba ***** ila kwa hili namtetea.