Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,325
- 144,753
Great thinkers discusses issues but less minded people always think about a single word and not ideas. Grow tobecome great thinkerKwangu hii mara ya pili sasa kumsikia mheshimiwa mtukufu rais wetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akielezea maana ya neno 'catalyst'.
Mara ya kwanza ilikuwa ni pale Arusha kwenye mkutano wa jumuia ya Afrika Mashariki.
Sasa leo tena nimemsikia akielezea maana ya hilo neno wakati wa mkutano wake na rais Uhuru Kenyatta.
Angalia hiyo video hapo chini hususan dakika ya 7 na sekunde 53.
Huyu jamaa bana! Sijui hilo ndo neno alilofanikiwa kulikariri kiurahisi zaidi kwenye hiyo fani yake ya ukemia...
Kinda embarrassing....
Kiranga
Kuna komediani mmoja alimchana Alikiba akiwa mkalimani wa mwanamuziki mmoja Maarufu aliyetembelea nchi hiyo...ingawa ilinikera ila nililazimika kucheka!Akiondoka huko, nisikilizie Stand Up Comedians wa Kikenya watakavyokuja na mpya ..............!!
Kakosea wapi kwa kujifananisha na catalyst? Au nini ... sijakusoma ...Kwangu hii mara ya pili sasa kumsikia mheshimiwa mtukufu rais wetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akielezea maana ya neno 'catalyst'.
Mara ya kwanza ilikuwa ni pale Arusha kwenye mkutano wa jumuia ya Afrika Mashariki.
Sasa leo tena nimemsikia akielezea maana ya hilo neno wakati wa mkutano wake na rais Uhuru Kenyatta.
Angalia hiyo video hapo chini hususan dakika ya 7 na sekunde 53.
Huyu jamaa bana! Sijui hilo ndo neno alilofanikiwa kulikariri kiurahisi zaidi kwenye hiyo fani yake ya ukemia...
Kinda embarrassing....
Kiranga
kwa hiyo angepatia hiyo catalyst ndio tungekuwa tunaelekea uelekeo sahihi!? kati ya wagombea wa mwaka jana yeye ndio alikuwa bora, hivyo kabla ya kutulaumu sie wapiga kura jiraumuni nyinyi wenyewe kwa kutuletea mgombea " Mtunguo"Ni katika dakika ya 7:53 anaanza kuongelea catalyst...mkemia, my foot! Kwa mwendo huu tunatakiwa tuzidi kuiombea nchi yetu kwa vile ni kama tupo gizani hatujui tunaelekea wapi!
Kakosea wapi kwa kujifananisha na catalyst? Au nini ... sijakusoma ...
I don't see any wrong doing in that phrase!! Au ulitaka aje na ma'jargon' yenu na Kiranga.....
Huyu jamaa bana! Sijui hilo ndo neno alilofanikiwa kulikariri kiurahisi zaidi kwenye hiyo fani yake ya ukemia...
Kinda embarrassing....
Kiranga
For your information all great ideas started with one simple word; the single word but with a simple symbolic picture. One single word can change the entire history of mankind.Great thinkers discusses issues but less minded people always think about a single word and not ideas. Grow tobecome great thinker
I don't see any wrong doing in that phrase!!
Then, where on earth, the embarrassing is coming from!?Who said there was...?
Wewe catalyst unaijua maana yake na jinsi inavyotumika? Dhihaka iko wapi hapo. Kweli mahaba niue....[emoji4] [emoji4]Jamani sio jambo jema kuwa tunamdhihaki mheshimiwa Rais kwa mambo ya kipuuzi kama haya
Huyu ni mkuu wa nchi
Then, where on earth, the embarrassing is coming from!?
Sasa Mbona neno "nashukuru" hujalianzishia thredi?Who said there was...?