Rais Magufuli mteue Ruge Mutahaba kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Rais Magufuli MTEUE Ruge MTAHABA kuwa KATIBU MKUU KIONGOZI.

Kwangu anafaa sana, ameweza kusimamia taaluma ya habari vizuri na hata kuunganisha Watanzania kupitia Ubunifu wa Sanaa hapo CLOUDS FM. Kwa kuwa kazi ya KATIBU MKUU KIONGOZI ni kusimamia shughuli zote za Serikali chini ya Rais naimani atafaa sana katika nafasi hiyo ya Kiutendaji kama Mwakilishi wa Wanahabari na Wasanii. Kwani Cheo cha Katibu Mkuu Kiongozi hakihitaji elimu kubwa bali kinahitaji uwezo wa kusimamia na kuwaunganisha watumishi.Pia nichukue fursa hii kumuomba Msamaha Mh. Ruge Mtahaba kwa kutajwa vibaya katika akaunti yangu hii na kupotoshewa jambo ambalo si la kweli. AKSANTE
Deogratius Kisandu
12 Desemba 2017

View attachment 649453
Katibu Mkuu Kiongozi Ruge!?Dah,kweli WaTz noma.Ndugu, Katibu Mkuu Kiongozi anachaguliwa mtu very senior na mwenye uzoefu kiutendaji serikalini, msomi mzuri mwenye weledi wa hali ya juu.Sasa Ruge dah,tena kutoka kwenye media ya habari ya kishikaji na ambayo hata haina intergrity kama Clouds.He is simply not suitable,ingawa hata CV yake siijui.
 
Hivi jamani huyu mwandishi anajielewa ama hajielewi. Katibu mkuu kiongozi halafu ahudumu kusaidia michezo. Hivi unaelewa cheo cha katibu mkuu kiongozi kina tofauti gani na katibu mkuu katika wizara. Nani aliyekuambia katibu mkuu haihitaji elimu ya kutosha. Elewa kuwa katibu mkuu ndio think tanker katika wizara halafu useme haihitaji elimu ya kutosha nadhani hapo patakuwa na ukakasi.
 
Back
Top Bottom