Rais Magufuli mteue Ruge Mutahaba kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Deogratius Kisandu

Verified Member
Dec 2, 2012
1,335
2,000
Rais Magufuli MTEUE Ruge MTAHABA kuwa KATIBU MKUU KIONGOZI.

Kwangu anafaa sana, ameweza kusimamia taaluma ya habari vizuri na hata kuunganisha Watanzania kupitia Ubunifu wa Sanaa hapo CLOUDS FM. Kwa kuwa kazi ya KATIBU MKUU KIONGOZI ni kusimamia shughuli zote za Serikali chini ya Rais naimani atafaa sana katika nafasi hiyo ya Kiutendaji kama Mwakilishi wa Wanahabari na Wasanii. Kwani Cheo cha Katibu Mkuu Kiongozi hakihitaji elimu kubwa bali kinahitaji uwezo wa kusimamia na kuwaunganisha watumishi.Pia nichukue fursa hii kumuomba Msamaha Mh. Ruge Mtahaba kwa kutajwa vibaya katika akaunti yangu hii na kupotoshewa jambo ambalo si la kweli. AKSANTE
Deogratius Kisandu
12 Desemba 2017

ruge.jpg
 

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,621
2,000
Huyu Ruge nadhani atakua moja ya makachero wenye rank ya juu kabisa nimeanza kuhisi huyu mtu sio wa kawaida since 2013 sina sababu za msingi saaana ila huu mgogoro wa Mawingu na Rc
Umekuja kuhitimisha hisia zangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom