Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
NATAMANI First born WA BABA YANGU ateuliwe UKUU wa WILAYA.
Mh. Rais Magufuli Ukuu wa Wilaya ni cheo cha kisiasa hakihitaji Elimu ya darasani bali Hekima, ujuzi na maarifa na uwajibikaji, elimu ni ziada tu. Natumia turufu hii kukuomba umpatie nafasi ya U DC dada angu Maritha N Kisandu. CCM wote wilayani Kahama wanamfahamu vizuri tu akiwemo Mbunge wasasa wa Kahama.
Niombi tu lakini sio lazima lifanyiwe kazi. Kama kaka kama dada atafanya kazi nzuri sana.
Deogratius N Kisandu.
ACA