Rais Magufuli Mpongeze Uhuru HARAKA

Status
Not open for further replies.
Odinga vowed his support to JPM against normal opposition stand thus prompted the reaction by opposition particularly Chadema to support Uhuru
 
Kwani 2015 Odinga aliwaunga mkono Wapinzani wa Tanzania? Acha kuongea usicho kijua,tuliza mshono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu wakati wa kupongeza aseme mm nakupongeza sio kwa niaba ya wa tz
 
Alikutuma mwambie ajipange upya umekosea njia
 
Wanachofanya chadema ni kusteam out frustration zao kwa kupitia Kenya!!!!!! As if Kenyatta kushinda kutawaongezea kipato chao Tanzania .Ni Sawa na mtu anayesifia mke wa jirani yake kuwa ni mzuri wakati wake mbaya kupindukia.
Kwani msimamo wa Tanzania ni..kumuunga..mkono...Raila ??
Siis tuko..kuwatakia heri kwa...yeyote ambaye wangemtaka
 
mleta mada ameongea hikohiko nawe badala ya kuendeleza unaendelea kuongea kilekile!!!
 
Walichofanya upinzani wa Tanzania nadhani ni kulipa kisasi cha Odinga kuto waunga mkono 2015 haha hakii waAfrika sie kwa visasi Mungu atusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waingereza husema "give the compliments when its due "
Ukichelewa kumsifu mtu au..kumpongeza au kumpa.pole ...hata ukifanya baadaye inakua haina maaana tena au uzito
Ieleweke salamu hata zitoke leo baada ya hata watu wa..nchi za mbali itakua haina uzito...tena
 
Kinakitu ndani ya mioyo ya watanzania kinachojengeka. Hicho kilichotokea ni ujumbe.
 

Mazezeta ya Ccm, mnajulikana na uko mko wengi sana.
 
ccm supports uhuru, iko hivyo waliobadili gia huruma kwao

JPM na odinga ni marafiki hata kabla magu hajawaza kuwa rais


CDM ni watoto, uhuru hatakuja ku support CDM at all!!! CDM washawahi m support odinga hapo zamani


yaani

..lakini Magu alipokuwa waziri wa ktk serikali ya JK alikosea alipojitokeza ktk mkutano wa ODM na kumuunga
mkono Raila Odinga.

..Kitendo alichofanya Magu kilikuwa ni ukiukwaji mkubwa wa taratibu na miiko ya diplomasia.

..Magu alitakiwa ajiweke mbali na Raila ukizingatia kwamba inajulikana wazi kuwa Raila amekuwa na interest za kugombea Uraisi wa Kenya.

..Na Raila naye amekuwa akitumia jina la Magu ktk mikutano yake ya kampeni. Jambo hilo halikuwa zuri kwani linampaka matope Magu na waTanzania.
 
Naona Makamanda mnajaribu kupreempty mipango ya JPM..akipongeza mseme tumempreshalaizi mpaka kapongeza,akinyamaza mseme ana bifu na Uhuru...
Hamnaga,jema nyie kama,Waisraeli!
Hapo ulivyomalizia imenifanya nifikirie...maana Waisreli wameshinda katika kutokuwa na jema. Sidhani kama Watanzania tuko hivyo
 
Hakusema Kenya mkuu mbona unaleta uongo wa maandishi? Kweli watu bado mna kuchanganyikiwa kwa 2015. Hata jirani yeyote ataezuia bidhaa zetu ajue na zake zitapigwa BAN kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata akimpongeza bado mtaaanzisha threads za kupinga pongezi zake.
hiyo ndo definition ya upinzani kwa tanzania. hata rais akikohoa huwa mnapinga
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…