Rais Magufuli mkumbuke Pascal Mayalla U-DC Ikungi

Mkuu samahani,
Kwamba na sisi wanaJF tutoe mwakilishi walau mmoja????

Kwani unafikiri hao wawakilishi wengine sio wanaJF?
Kweli kabisa Mayalla amepambana sana kuliko hata Bashe ni muda wake na sisi wa JF tutoe angalau muwakilishi mmoja. Maana jimbo/wilaya ya Nzega imeshatoa waziri na naibu.
 
Tatizo mayalla ka umri kameshaenda
Mheshimiwa Rais, naomba umkumbuke Pascal Mayalla u-DC wilaya ya Ikungi baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya kuteuliwa kuwa mbunge.

Pascal amesaidia sana kulivalia njuga suala la ACACIA vs BARICK kuelimisha wananchi hasa kupitia Jamii forums, hata akina Zitto wanapokuja na hoja zao, amekuwa wa kwanza kuwakosoa na kuwapa vifungu vya kisheria vinavyohusiana na suala hilo.

Pascal amekuwa miongoni mwa watu wachache wanaotetea juhudi zako za maendeleo ya Tanzania, zile fasihi siku hizi hana kabisa.
 
Ndyo maana li nchi linaelekea zimbabwe zababu tumeangukia pua. Viongozi wanachaguliwa kwa kigezo cha kujipendekeza kwa rais na si kuangalia vigezo vya msingi. Na mtu anayejipendekeza kuwa mnafiki. Na mtu mnafiki hawezi kutoa mawazo mbadala yanayoweza kuleta maendeleo kama atakuwa tofaut na mkuu wake.
 
Mheshimiwa Rais, naomba umkumbuke Pascal Mayalla u-DC wilaya ya Ikungi baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya kuteuliwa kuwa mbunge.

Pascal amesaidia sana kulivalia njuga suala la ACACIA vs BARICK kuelimisha wananchi hasa kupitia Jamii forums, hata akina Zitto wanapokuja na hoja zao, amekuwa wa kwanza kuwakosoa na kuwapa vifungu vya kisheria vinavyohusiana na suala hilo.

Pascal amekuwa miongoni mwa watu wachache wanaotetea juhudi zako za maendeleo ya Tanzania, zile fasihi siku hizi hana kabisa.
Kwahiyo kila anayetea juhudi mitandaoni apewe cheo?
Je, utajuaje kama MTU anafanya hivyo kwa maslahi binafisi au kwa maslahi ya umma.
 
Mheshimiwa Rais, naomba umkumbuke Pascal Mayalla u-DC wilaya ya Ikungi baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya kuteuliwa kuwa mbunge.

Pascal amesaidia sana kulivalia njuga suala la ACACIA vs BARICK kuelimisha wananchi hasa kupitia Jamii forums, hata akina Zitto wanapokuja na hoja zao, amekuwa wa kwanza kuwakosoa na kuwapa vifungu vya kisheria vinavyohusiana na suala hilo.

Pascal amekuwa miongoni mwa watu wachache wanaotetea juhudi zako za maendeleo ya Tanzania, zile fasihi siku hizi hana kabisa.
Mpigie simu umwambie,humu hayupo
 
Aliwahi kusema mshahara wa dc yeye ni sawa na kodi anayolipa kwenye office yake hivyo hicho cheo hana mpango nacho
haiwezekani,yaani na msimu huu wa njaa kali jamani -- eti kaka Paskali ya kweli haya, au hawa wazee wa fitna wameanza kukuzibia riski..yaani kitumbua mezani ugome kukila?
 
Back
Top Bottom