CC; Pascal MayallaMheshimiwa Rais, naomba umkumbuke Pascal Mayalla u-DC wilaya ya Ikungi baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya kuteuliwa kuwa mbunge.
Pascal amesaidia sana kulivalia njuga suala la ACACIA vs BARICK kuelimisha wananchi hasa kupitia Jamii forums, hata akina Zitto wanapokuja na hoja zao, amekuwa wa kwanza kuwakosoa na kuwapa vifungu vya kisheria vinavyohusiana na suala hilo.
Pascal amekuwa miongoni mwa watu wachache wanaotetea juhudi zako za maendeleo ya Tanzania, zile fasihi siku hizi hana kabisa.
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba hii ndiyo style mpya ya kugawana vyeo siyo..!!Mheshimiwa Rais, naomba umkumbuke Pascal Mayalla u-DC wilaya ya Ikungi baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya kuteuliwa kuwa mbunge.
Pascal amesaidia sana kulivalia njuga suala la ACACIA vs BARICK kuelimisha wananchi hasa kupitia Jamii forums, hata akina Zitto wanapokuja na hoja zao, amekuwa wa kwanza kuwakosoa na kuwapa vifungu vya kisheria vinavyohusiana na suala hilo.
Pascal amekuwa miongoni mwa watu wachache wanaotetea juhudi zako za maendeleo ya Tanzania, zile fasihi siku hizi hana kabisa.
Samahani umeandika lugha gani hii? Cha kushangaza unaweza kuwa miongoni mwa 'graduates' wa vile vyuo very vya kata, halafu tunajinasibu kutaka kuwa nchi ya viwanda!Umelala umeamka unakuja kuongea about a man. We ni shogaa. Kwanini mnadai Demokrasia lakkni wenyewe ni anti uhuru wa mtu kusema anayoyaona na kufikiria. How can you stoop so low. So kama wewe unamtetea Lissu, kinachofuata nini akuoe au. Respekt others bitte.
hujui kwamba İkungi DC ameteuliwa tayari?Naunga nkono hoja hiiii
Urais wa JMTKwa hiyo apewe cheo gani?
Kwa kumchongea Erick Kabendera, paschal Mayalla anastahili hata kuteuliwa ubunge kisha apewe unaibu.Kiukweli anastahili kupewa majukumu maana anajitahidi kumsemea mkuu na serikali yake
Kweli kabisa Mayalla amepambana sana kuliko hata Bashe ni muda wake na sisi wa JF tutoe angalau muwakilishi mmoja. Maana jimbo/wilaya ya Nzega imeshatoa waziri na naibu.
Ngoja na mimi nilivalie njuga hili swala la wanaotaka kumpindua Mhe Rais asigombe 2020 - 25 labda naweza kumbukwa nikawa hata house boy wa waiti hausi.
Na ikungi vinauhusiano gani?ACACIA vs BARICK