luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,258
Mkinga kaja juz mjin na yeboyebo na ViHéla vya kwa mwakipande vya kudonoa tunamchora tu ndio.atuzid? UnaotaAcha mambo wabena + wakinga kariakoo walishakuja siku nyingi. Maduka kama Kisangani Enterprises umezaliwa unayaona . Na ndio miongoni mwa Duka kubwa la spea hapo jijini Dar es salaam. Wapo wengi Sana tukikuwekeea list
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app