luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,257
Hahaha ndugu yangu kwahiyo kwako barabara hiz za lami ndio kujivuna? Sisi Kilimanjaro tunazo kabla hata ya Uhuru kule Kilimanjaro ni.kawaida vichochoroni kukuta lami sembuse highway? Kumbe kwenu bado hata hakujakucha?Eti dada zako ni wazuri na wanaolewa kila sehemu,endelea kufurahia kulazwa kwa dada zako
Mzee baba tunawapumulia kisogoni ndo maana mnahema hamuamini.Tuko full control ya uchumi wa mikoa ya Mbeya,iringa,njombe,Rukwa na partly tunashare uchumi wa Ruvuma,Dar,Katavi na Morogoro sio nyie mko localized na scattered Kama wazululaji tu
Acha kutapatapa mkuu kama hizo pesa zinapatikana hivyo na wewe jaribu upate sio kulia lia kisa umepigwa knock out,sitarajii utampenda mshindani wako.Usicheze na watu wa njombe,yr tiny region is getting older and no resources at all wakati sisi ndo kumekucha.Soon barabara nilizokueleva hapo zikikamilika tu njooni muwe vibarua wetu huku
2_sisi wachaga tumejaa sehemu zote tz Hakuna eneo utamkosa mchaga either kielimu or kibiashara
Jiji la Arusha uchumi 90% umeshikwa na wachaga,mwanza,dar nako tumo mbeya,mpanda kadhalika
Nyie wakinga Ni wanafunz wetu kamwe hamuwez kutupita mnaota ndoto,huko mnakopita tushapita huko zaman Sana hahaha huwa napendaga mlivyo wabishi mkinga anawza hata kubishana na mti
Nimekaa mbeya miaka 9 nawafahamu in and out hampendi kwenu ndio maana wilaya yenu ya makete imechakaa mno hata mkifa mnazkwa mbeya kwa aibu ya kuogopa kuzika makete kubovu
VICHOCHORONI KILIMANJARO LAMI NI JAMBO LA KAWAIDA