Rais Magufuli: Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako ndio mji wenye nyumba na Makazi bora Tanzania

Makambako pale kwenye vibanda vya ulanzi na madanguro?

Kwa hiyo Makambako pamejengeka vuzuri kuliko Dodoma na Mwanza?

Acheni utani!
Ulishaingia kwenye vibanda vya ulanzi na hayo madanguro mkuu? 🤣🤣🤣🤣
 
Makambako Tunduma Kahama ni miji ya kibiashara hapo kuna wahamiaji tuu hakuna wenyeji gesti ni kama zote uchangudoa ni kama wote pesa ipo kama zote
 
Jiwe kila anapopita anapasifia , kwani mnadhni yeye ni mjinga apakosoe wakati anahitaji kura?

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Umepanic, Una stress za maisha
Hujaelewa uzi una maanisha nini?

Unaweza ukawa na ghorofa nzuri mwananyamala lakini, mwananyamala ni Makazi ya hovyo yaani slums

Mkuu unaelewa Rais aliongea kitu gani?

Tunaposema watanzania maskini wewe unahesabu mbona mengi, bakhresa matajiri, Una akili wewe?
 
Unazungumzia miaka ya ukoloni labda ila siyo Leo mkuu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
We jamaa hopeless sijwahi ona

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mnafiki mkubwa na muwongo kabisa basi gani la mchaga linaenda mkoani Njombe.Hii kauli yako baada ya mhindi anayefuata au majority ya wafanyabiashara wakubwa kila mkoa ni wachagga haina ukweli wowote ule zaidi ni kujijazia misifa ya uwongo. We unaifahamu Tanzania vizuri na je unawafaham matajiri wakubwa Wa kila mkoa. Mimi nmeishi mikoa kadhaa . Ni mfanyabiashara gani mkubwa mkoa wa Mwanza , Njombe, Mbeya, Mara, Ruvuma, Rukwa. Wachagga wapo Ila ni wafanyabiashara wa Kati sio Tena mikoa ya nyanda za juu kusini wachache mno Tena hawapo kwenye list ya matajiri kwenye baadhi ya mikoa. Mwanza kuna wakurya acha kabisa akina Gachuma , gitano , lakairo , Mathayo wa Mara Zakaria. Nyanda za juu kusini hata hao Wahindi ni wachache mno. Tena waliodorminate biashara kubwa ni wazawa kuanzia vituo vya mafuta na Industrial sector. Kuleta viazi soko la mabibo sio kwamba ndio baadae wanakusanya mtaji kwenda kufuata chupi China . Watu wana maduka ya kuuza heavy equipment spare hardwares mfano unaifahamu Kisangani Enterprises Ile ya pale mnazi mmoja Duka kubwa kabisa la spare Dar es salaam wale si watu wa Njombe. Nyanda za juu kusini kuna watu wanamiliki hotel na majengo makubwa kabisa katikati ya jiji la Dar es salaam. Wakina Jah people Wana semi trella zaidi ya 200. Umetaja matajiri wote wakichagga umesahau pia kuna makabila mengine yapo. Things are changing wachagga ilikuwa zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo no 6, maadui wa simba sc
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemsoma huyo niliyemjibu? Au unashoboka..
 
Cha ajabu hao wa nyanda za juu hakuna anayewafahamu..
 
Cha ajabu hao wa kanda ya kati hakuna anayewafahamu..
Huyo mchagga alitaka kutulisha matango Pori as if wao ndio kila kitu nchini. Mambo yamekwenda yanabadilika miaka mpaka miaka. Game has change watu wanaoingia kwenye system ya kuendesha Uchumi wa nchi ni kutoka makabila mbalimbali. Zamani wachagga waliweka Ile wizara ya fedha kama Mali Yao. Kwa ya 4 na 5 wachagga hawashikili hiyo wizara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushikiria wizara ya fedha ndio kuwa na maendeleo. Mbona Mwigulu na Mpango huko kwao bado hoi?😂
 
Kushikiria wizara ya fedha ndio kuwa na maendeleo. Mbona Mwigulu na Mpango huko kwao bado hoi?
Game has changed kuna mchaga alitaka kutuaminisha kila mkoa tajari akiongoza mhindi basi anayefuata lazima awe mchaga au wachaga ndio watakuwa wanaongoza. Mwongo kabisa Yule. Things has changed mikoa mingine hutamuona mchaga kwenye top 10 ya matajiri Tena mingi kabisa. Issue wizara ya fedha zamani ilikaliwa na wachaga Kwa mda mrefu Sana. Saiz wachaga wamepumzishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati yako na yeye nani mzushi na muongo?

Taja hapa kampuni yeyote kubwa, yenye brand kubwa inayotambulika Tanzania inayomilikiwa na Mkinga..

Nakisubiri uitaje
 
Wachagaa anayefahamika asilimia kubwa ni Mengi. Wengine matajiri wa Moshi na wachaga hata sisi hatuwafahamu. Nenda Iringa , Moshi , Ruvuma, Njombe , Rukwa n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huwafahamu kwa majina utawafahamu kwa BRAND..

Unaifahamu Precision Airways, K-Vant™, Akiba Commercial Bank?
 
Kama huwafahamu kwa majina utawafahamu kwa BRAND..

Unaifahamu Precision Airways, K-Vant
, Akiba Commercial Bank?
Wewe una matatizo, Kwenye Bank kuna kitu kinaitwa Capital Concentration
Bank mtaji hauwezi kumilikiwa na mtu mmoja

Khaa kiongozi unafahamu sheria za Benk kuku wewe sio Tanzania tu mpaka marekani tena huko sheria ni kali zaidi

Huyo shirima ni shareholder kwenye Precision, sema ana hisa kubwa precision
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…