Rais Magufuli: Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako ndio mji wenye nyumba na Makazi bora Tanzania

Moshi bado kuna mba za tembe nyingi sana. Njombe huwezi ukaiona nyumba ya tembeHata vijijini kuna nyumba nzuri na zimepangwa vizuri kana kwamba kumepimwa. Njombe people are very smart. Nyumba za nyasi hazipo kwa sababu maeneo mengi yanalimwa viazi ngani maharage chegele mahindi na maeneo mengi yamepandwa miti. This is my fair observation
nyu
We unaota ndoto Kilimanjaro Ni mkoa wa pili kwa makaz bora na gdp kubwa kwa wananchi wake baada ya dar
Kilimanjaro Hadi vichochoroni Kuna lami majumba ya kifahari vijijn Ni 80% kule ukijenga nyumba bila msauzi unaonekana fala kilimanjaro imepiga hatua tangu zaman
201628225.jpeg
562749368.jpeg
FB_IMG_15020060897734219.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenda zako nyau we hakuna mji wa hovyo kama kilimanjaro nenda njoro, pasua kumejaa vijumba vya udongo, vibaka na wauza gongo, nenda kiborloni msaranga kumejaa vijumba vya udongo na wapika gongo, nenda same, hedaru vijumba vya udongo vimejaa huko, nenda uru nyumba za nyasi za kutosha. nenda boma ng'ombe vijumba vya udongo vimejaa. wadanganye wasioijua moshi
Unaota ndoto ww kada uzuri mmoja Hakuna asiyeijua kilimanjaro kwa maendeleo
Niwekee picha za hizo nyumba za nyasi kwanza Kilimanjaro nyasi itoke wapi?
Kilimanjaro Ni mkoa wa pili.kwa makaz Bora na wananchi wake kuwa na maisha Bora
Pôle kwa povu
2014937091.jpeg
1168915289.jpeg
168188883.jpeg
FB_IMG_15020060897734219.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la wachaga meno yao yameoza...badala ya kufight watatue tatizo, wapeleke maji safi home wanapambana kujenga kwa gharama kubwa huko porini kwao...huku meno yanabaki kama wamekula mavi...
hv kwenye vikao vyao vya December huwa ni matambiko tuuu huwa hawongelei hoja kama hzi za maji aisee.... somtyme wanafikr kwa kutumia matako
 
NAONA UMEAMUA KUFURAHISHA GENGE KUNA SEHEMU KUNA MAJI SAFI NA MATAMU KAMA KLM
 
Mfyuuu!
Tatizo la wachaga meno yao yameoza...badala ya kufight watatue tatizo, wapeleke maji safi home wanapambana kujenga kwa gharama kubwa huko porini kwao...huku meno yanabaki kama wamekula mavi...
hv kwenye vikao vyao vya December huwa ni matambiko tuuu huwa hawongelei hoja kama hzi za maji aisee.... somtyme wanafikr kwa kutumia matako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la wachaga meno yao yameoza...badala ya kufight watatue tatizo, wapeleke maji safi home wanapambana kujenga kwa gharama kubwa huko porini kwao...huku meno yanabaki kama wamekula mavi...
hv kwenye vikao vyao vya December huwa ni matambiko tuuu huwa hawongelei hoja kama hzi za maji aisee.... somtyme wanafikr kwa kutumia matako
Ww unafikiria kutumia mavi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makambako pale kwenye vibanda vya ulanzi na madanguro?

Kwa hiyo Makambako pamejengeka vuzuri kuliko Dodoma na Mwanza?

Acheni utani!
Ktk mkoa wa Njombe in general na Dodoma you can't not compare. Njombe wapo 100% better than mikoa minngi Tanzania in terms of makazi Bora . Nyumba za Njombe 95% zimejengwa Kwa tofali za kuchoma na 95% zimeezekwa bati. Rais alisema toka aiingie mkoa wa Njombe mkoa Una makazi Bora . Mimi nimeishi na kusoma Dodoma bwana Bihawana secondary school. Zile nyumba za udongo na juu zimeezekwa udongo achaga mambo yako wewe. Nikwenda mpaka kule ndani chikopelo, mbabala , mpuguso .Ile dodoma road . Ninapafaham vizuri Sana Dodoma. Dodoma inabebwa na makao makuu Yale basi. Ila pembeni wagogo ni Maskini balaa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi huwa sijuagi uongo unawasaidia nini.. Mtwara Mjini kuna Mkinga gani mwenye pesa? Mtwara Mjini ni Mkinga gani ana jengo la Ghorofa pale city centre? Kwa haraka haraka tu kuna Ghorofa mbili za wachaga pale city centre..

Huko Masasi unakosema Mkinga mwenye pesa ni Adam Viazi of which hamfikii Mzee Kibo hata nusu.. Nenda mahali popote Mkinga ni underdog tu kwa Mchaga anaishia kufanya uchuuzi wakati wachaga walishahama huko wako kwenye viwanda na technical businesses..
Kaka Dar viwanda vinamilikiwa na wahindi
Nenda puguroad huko na keko
 
Makaz ya Njombe hata Kama ni bora hayawez kuifikia Kilimandjaro hata kidogo
Kilimandjaro tangu 1980's hawajui nyumba za tembe Ila Njombe zipo pita wangingombe,ilembula ,igwachanya nk nenda Kilimandjaro ukikuta nyumba ya nyasi nakupa milion 5

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro kilichowabebaga mliwahi kupata Elimu mapema tofauti na mikoa ya Njombe. Wachagga wengi walikuwa educated na kupata high position nchini lakini Kwa sasa mambo yameenda yanabadilika competition kwenye business na ajira wachagga wanacompete na makabila mengi. Elimu iliwasaidia Sana wachagga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom