Rais Magufuli: Mkijaribu kumfukuza Mkurugenzi wangu nitalivunja baraza la madiwani

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,471
12,380

Kwamba zile tambo zenu za kuwasumbua wakurugenzi zote hazina nafasi tena,how come mtu hata kusoma vizuri hajui but kwa kuwa ni diwani analeta jeuri kusumbua wataalam like madaktari,walimu au maafisa mipango? mmetusumbua sana nyie madiwani kipindi cha JK,kila jambo lina mwisho wake .

Happy May Day
 
Hili li nchi bwana bado tuna safari ndefu sana kuufikia ukombozi! Yaani watu wanashangilia ujinga!! Hivi huyu mtu anayoyafanya yeye siyo ushetani kweli? Hela za maafa alilamba akabaki anatukana watu sasa hiki anachosema mbona kiko tofauti na matendo??
 
vidiwani vya ccm vilikua na mambo ya kipuuzi sana anaweza akafanya lolote kwa mtumishi na hakuna wa kumfanya kitu.bora tu wapuuzwe....
May be I am not informed of their deeds! Walikuwaje kwani? Najua nilikuwa na ndugu yangu mhandisi, wanamwendea kumtaka hela, akisema sina wanaanza figisu kuwa tutakutoa uondoke kwetu. Wanaanza kazi ziko chini ya kiwango etc!
 
Hiyo lugha ya "tutakuondoa" ndo lugha yao kuu na ukizingua kweli wanakuharibia,wamejawa na ujinga ujinga tu,ukisema uende kinyume nao kwa kusimamia maadili ya kazi yko basi inakua nongwa.
 
Huyo ni Mku wetu wanchi yaani kwa kauli zake zote zina ukakasi. Aniumizi sana akili kwa kuwa ndiyo hulka yake. Lakini akumbuke hii nchi aongozi milele mpaka ajione yeye ndo mwanzo na mwisho
 
Kwamba zile tambo zenu za kuwasumbua wakurugenzi zote hazina nafasi tena,howcome mtu hata kusoma vizuri hajui but kwa kua ni diwani analeta jeuri kusumbua wataalam like madaktari,walimu au maafisa mipango? mmetusumbua sana nyie madiwani kipindi cha jk,kila jambo lina mwisho wake .

Mods rekebisheni title isomeke vizuri.

Happy may Day

umuimu wa elimu kwa wana siasa upo wazi na si kujuwa kusoma na kuandika.
 
Huyo ni Mku wetu wanchi yaani kwa kauli zake zote zina ukakasi. Aniumizi sana akili kwa kuwa ndiyo hulka yake. Lakini akumbuke hii nchi aongozi milele mpaka ajione yeye ndo mwanzo na mwisho

Jamaa anapata Sana shida anavyoona halmashauri nyingi kubwa zinaongozwa na upinzani ,watu hawajui tu!
 
Back
Top Bottom