Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Rais Magufuli, kwanini haujaenda Japan?

Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350
Cc: Pascal Mayalla
 
Inauma sana hasa kama tunataka maendeleo. Maendeleo hayaji kwa kujifungia Ikulu. Lazima ukapate new ideas na kubadilishana mawazo na wenzako hasa waliokuzidi ili upate maufundi.
Rais Lazima atambue kuna umuhimu wa kuhudhuria mikutano kama hii ya maendeleo.
Umenigusa sehem mbaya we mwali😂😂😂😂
 
1.kwa nini maendeleo ya afrika wajadili Japan?'japan ni afrika?

2.tangu nchi za afrika zipate uhuru vikao kama hivi ni vya kawaida for decades; je una statistics za mafanikio ya hivi vikao? with proof
Unajua lkn daraja la mfugale ni hela za mabeberu wa kijapan sio?
 
We dada mbona mchokozi hivyo, we unajua kabisa mimi lugha haipandi halafu unanichomekea niende huko nitaongeaje? au unataka niwe kituko cha dunia niwekwe fonti fedi za mchemsho wa lugha duniani, ila nimechemka kutoenda mpaka shetani mamba wa Zimbabwe kanishinda kaenda.
 
yes si mkopo? even the richest countries wana mikopo na kukopa

kwani limejengwa Tokyo?
Sasa kama unaweza kujitegemea why ukope kila miradi? Hujiulizi kwa nini hukopeshi bali unakopa?
Yaani bado tunawategemea sana Japan. Hivyo ni muhimu angeenda na kunegotiate misaada mingine.
 
imeandikwa msahafu gani?
ni mawazo yako ndugu

last time I check, hata USA wanakopa sana tu

unaongea mawazo yako, ila haujaweza kutoa sababu HAUNA
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo. Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu. Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Nahisi kuna mshauri wake kamuambia Mheshiwa usiende, maana kule Japan wanaongea Kijapan!
 
1.kwa nini maendeleo ya afrika wajadili Japan?'japan ni afrika?

2.tangu nchi za afrika zipate uhuru vikao kama hivi ni vya kawaida for decades; je una statistics za mafanikio ya hivi vikao? with proof
Hizi akili💩ndio zinazoitia hasara taifa. Mbona babako meko anaomba misaada kila uchao huko unakopigia kelele zako👹👹 shwain kweli wewe
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350
 
Bado hatujalipwa koroshow zetu
Hahahhahaha.Wakati Majaliwa alisema kapata wanunuzi. Magufuli akamuambia hakuna haja. Na Serikali itazinunua zote. Sasa naona wameshindwa kulipa wakulima. Magufuli ana matatizo yule.
 
Ndo unajuwa leo kuwa MEKO no shida👹🐍🛬☠🐛
 
Kule Japan kuna mkutano unaohusu Maendeleo ya Africa. Najua Rais Magufuli ni muumini wa maendeleo.

Japan ni mdau mkubwa wa maendeleo hapa nchini kwetu.

Rais Magufuli najua umemtuma Waziri Mkuu, ila kumbuka tulikuchagua wewe na siyo Waziri Mkuu.

Unajua mkutano kuhudhuriwa na Rais kuna uzito wake?

Pia unakutana na ideas mpya. Sasa wewe umejifungia tu Ikulu huku marais wenzako wa Africa wanajadili maendeleo.

Tena hapa ungetumia uchu ulionao kwa maendeleo kuongea na waziri mkuu wa Japan.
Angalia Rais wa Rwanda juzi alikuwa France kwenye G7. Leo yupo Japan.

Rais wa South Africa pia ilikuwepo kwenye SADC, akawepo kwenye G7 leo yupo Japan.

Kama mpenda maendeleo ulitakiwa usikose huu mkutano.

View attachment 1192348View attachment 1192349View attachment 1192350

Victoire
Sky Eclat mmejiandaaa?
 
Back
Top Bottom