Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,669
Kila jambo lina sababuKuna sababu nyuma ya haya si bure!
Kama hukuwahi ni weweHivi wakati wa Kikwete hakukuwa na Miradi? Make sikuwahi kumuona Kikwete Akizindua Miradi.
Nilikuwa naona Mawaziri ndo wanazindua pamoja na wakuu wa mikoa na Wilaya. Ila kwa sasa tutarajie hadi Daraja la kuunganisha mtaa kwa mtaa likizinduliwa na mkuuKama hukuwahi ni wewe
Hakuna sababu yoyote zaidi ya ushamba na ulimbukeni wa madarakaKila jambo lina sababu
Ilikuwepo kibao ila alikuwa anakaimisha kwa viongozi wengine wa chini yake, na alivyo mshamba wa makamera atataka aonekane live....hovyo kabisaHivi wakati wa Kikwete hakukuwa na Miradi? Make sikuwahi kumuona Kikwete Akizindua Miradi.
Ilikuwa haikamiliki mkuu..miradi kama ya udart, airport terminal 3 na mingine mingi alikuwa anawahiwa na wapiga dili hivyo kutokamilika au kuishia hewaniHivi wakati wa Kikwete hakukuwa na Miradi? Make sikuwahi kumuona Kikwete Akizindua Miradi.
Na kuahidi na kutekeleza piaZee la kuzindua
MAGUFULI WALL itapendeza zaidi.View attachment 733424
Haya wakuu,ni mwendo wa kuonyesha kazi kwa vitendo,sasa ni uzinduzi wa Ukuta wa Mirerani uliojengwa na Jeshi la Kujenga Taifa kwa kushirikiana na Wizara ya Madini.
Tukutane Mirerani-Manyara,siku ambayo RC Mnyeti ataunguruma mbele ya Rais wa nchi.
kipi ambacho sio cha kishamba ulitaka azindue?Zee la uzinduzi halafu anazindua vitu vya kishamba tu au kwa kuwa na yeye ni mshamba basi anaendelezea ushamba wake kiukweli watz tumekula hasara kumchagua huyu jamaa