Rais Magufuli kuzindua ukuta katika migodi ya Tanzanite Mirerani

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
image.jpeg

Haya wakuu,ni mwendo wa kuonyesha kazi kwa vitendo,sasa ni uzinduzi wa Ukuta wa Mirerani uliojengwa na Jeshi la Kujenga Taifa kwa kushirikiana na Wizara ya Madini.

Tukutane Mirerani-Manyara,siku ambayo RC Mnyeti ataunguruma mbele ya Rais wa nchi.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom