Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,669
Haya wakuu,ni mwendo wa kuonyesha kazi kwa vitendo,sasa ni uzinduzi wa Ukuta wa Mirerani uliojengwa na Jeshi la Kujenga Taifa kwa kushirikiana na Wizara ya Madini.
Tukutane Mirerani-Manyara,siku ambayo RC Mnyeti ataunguruma mbele ya Rais wa nchi.