Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi ufunguzi maktaba mpya Udsm.

mkulu senkondo

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
1,834
3,530
Kesho, November 27, 2018, Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dr John Pombe Joseph Magufuli atakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za uzinduzi wa maktaba mpya na ya kisasa kabisa kuwahi kujengwa katika ardhi ya Tanzania na bara la Africa kwa ujumla. Maktaba hiyo imejengwa kwa msaada wa watu wa jamhuri ya China na kampuni kutoka China. Maktaba hiyo kubwa, inahusisha sehemu za kusomea, uwekaji wa vitabu, kumbi za mikutano, nk
IMG-20181126-WA0000.jpeg
 
Kesho, November 27, 2018, Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dr John Pombe Joseph Magufuli atakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za uzinduzi wa maktaba mpya na ya kisasa kabisa kuwahi kujengwa katika ardhi ya Tanzania na bara la Africa kwa ujumla. Maktaba hiyo imejengwa kwa msaada wa watu wa jamhuri ya China na kampuni kutoka China. Maktaba hiyo kubwa, inahusisha sehemu za kusomea, uwekaji wa vitabu, kumbi za mikutano, nk View attachment 946396
Hii ni nzuri, itachochea sana vijana kujiendeleza kielimu. Kama taifa hili suala tulikuwa tunalimiss sana.[/QUOTE]
 
Hongereni sana UDSM. Bila shaka sasa madesa yatapungua na jumuiya itajikita kujisomea kutoka vitabuni na e-books.
 
Back
Top Bottom