Rais Magufuli kufanya ziara Mkoani Songwe, Oktoba 4-6, 2019

Kali _D

Senior Member
Feb 10, 2019
145
132
Mhe,JPM anatarajiwa kutembelea mkoa wa Songwe. Tafadhali mpeni ushirikiano Rais wetu.
1569850474573.png
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Akiwa Tayari Kwenye Majukumu Yake Ya Kila Siku
 
Daaaah! Mkuu, unaandika vizuri kweli. Juzi tu ndio umemaliza wiki moja hapa jamvini, lakini ni kama una miaka mitano!
 
Songa mbele JPM...Huku field tupo vijana wazalendo kwa maslahi ya umma
 
Back
Top Bottom